Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

SCANIA ni gari dume aisee, we angalia tu magari ya KILIMANJARO EXPRESS au SAIBABA kww miaka yote, huwezi kufananisha na hizi Broiler za kichina.

 
I can imagine!!! Zile horse zilizokufa ni aina gani?[/QUOTE]Daf xf euro 5 na Man tga 440 with all the bells and whistles, halafu zikawa outsmarted na Gari ya 10+years of service
 
Hvi wadau kuna basi naziona zinapga route ya Lusaka to Jo'berg , kimuonekano hizi basi ni nzuri sana na nimezpenda bt hapa bongo sijawahi kuziona licha ya kuwa wabongo tunapenda sana basi nzuri swali ni kwamba hizi basi zikiwa mpya zinauzwa kiasi gani na used bei gani na vip uimara wa hizi basi lakin pia kwanin hapa kwetu hatuna hizi pamba?
 
Irrizar I series
kwa sheria za Tanroad , hiyo Basi itabidi itembee na mabango meupe yaliyoandikwa abnormal mbele na nyuma pamoja na vitambaa viwili vyekundu kwenye side mirrors , huku ikilazimika kutembea kuanzia saa 12 ya asubuhi na mwisho ni 12 jioni. Mana ni ndefu kwa mujib wa sheria zetu
Bei ni very close to billion moja kwa pesa ya Tanzania
 
Mkuu t blj kuna basi za Volvo B10M hapa Tanzania kuna kampuni ya Secret Coach inazo zinapiga Dar-Mtwara.

Hizi basi injini imewekwa katikati au nyuma ya ekseli ya mbele, vipi uimara wake na Kwa mazingira ya huku zinaweza kuhimili. Maana daily hizi naziona zinapigwa spana Kibonde Maji.
 
Ile basi mbona mdebwedo hivi mkuu au naona vibaya.
 
Ile basi mbona mdebwedo hivi mkuu au naona vibaya.
Itakuwa mikono ya mafundi imefanya iwe mdebwedo. Ukiisogelea pembeni kila eneo imeandikwa precautions kuanzia sehemu za kuweka mafuta, coolants na betri.

Volvo si mashine ya kubeza tena kwa njia ya kusini inaanza vipi kuwa mchele mchele.
 
Ingia https://autoline.info utaona Bei ya hizi bas used sio kubwa kivile tatzo lipo kwenye urefu tu ndio sheria za bongo zinapo wabania watu
 
Volvo ikiwa mpya sawa,Ila katika maisha yake ya mwisho zinasumbua sana , Kama hizo za dar mtwara
Miaka ya 90 ilikuwepo moja chiku express Volvo B7, ilikuwa inaingia mnazi mmoja saa 9 ikitokea songea , baadaye zainab buss service nao wakanunua B7
 
Volvo ikiwa mpya sawa,Ila katika maisha yake ya mwisho zinasumbua sana , Kama hizo za dar mtwara
Miaka ya 90 ilikuwepo moja chiku express Volvo B7, ilikuwa inaingia mnazi mmoja saa 9 ikitokea songea , baadaye zainab buss service nao wakanunua B7

Sio kwamba unataka tuhitimishe SCANIA ni simba wa barabara zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…