Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Irrizar I series
kwa sheria za Tanroad , hiyo Basi itabidi itembee na mabango meupe yaliyoandikwa abnormal mbele na nyuma pamoja na vitambaa viwili vyekundu kwenye side mirrors , huku ikilazimika kutembea kuanzia saa 12 ya asubuhi na mwisho ni 12 jioni. Mana ni ndefu kwa mujib wa sheria zetu
Bei ni very close to billion moja kwa pesa ya Tanzania
Kama utaweka order kiwandani si wanalifupisha kidogo?

Kwa matumizi ya bongo litafaa?
 
Kama utaweka order kiwandani si wanalifupisha kidogo?

Kwa matumizi ya bongo litafaa?
Sidhani kama watakubali hao irrizar , ule urefu unamaana kia wanataka basi ibebe abiria zaidi ya 50 katika 2x2 configuration ,huku abiria wa ki enjoy legroom ya kutosha ,ukipunguza maana yake ni either upunguze idadi ya abiria au uwabane abiria , hata marcopolo 2010 ina urefu Kama huo.
 
Asante kwa link bt Kwahyo hizi basi ni ndefu kuliko Yale ya mwendo kasi au zile semi ?
Hapana mkuu semi ni ndefu Kushinda hiyo Basi , for strange reasons sheria za Tanroad zipo very complicated
Basi za mwendokasi ni ndefu sana pia Ila wale wana exemption maana wanatembea kwenye barabara zao , ndio sababu yale marefu hua hayafanyi safari za nje ya barabara yao lets say muhimbili na mbezi
 
Sidhani kama watakubali hao irrizar , ule urefu unamaana kia wanataka basi ibebe abiria zaidi ya 50 katika 2x2 configuration ,huku abiria wa ki enjoy legroom ya kutosha ,ukipunguza maana yake ni either upunguze idadi ya abiria au uwabane abiria , hata marcopolo 2010 ina urefu Kama huo.
Inabidi aje apunguzie hapa hapa Bongo kama walivyofanya Ilasi express
 
Njia ya kusini haina milima sijawahi panda pengine inaweza kua mashine japo kwa muonekano inaonekana mdebwedo
Itakuwa mikono ya mafundi imefanya iwe mdebwedo. Ukiisogelea pembeni kila eneo imeandikwa precautions kuanzia sehemu za kuweka mafuta, coolants na betri.

Volvo si mashine ya kubeza tena kwa njia ya kusini inaanza vipi kuwa mchele mchele.
 
Mamaee Dar Songea niliwahi sikia kwa wenyeji wa Songea wanasema ilikua roho mkononi
Volvo ikiwa mpya sawa,Ila katika maisha yake ya mwisho zinasumbua sana , Kama hizo za dar mtwara
Miaka ya 90 ilikuwepo moja chiku express Volvo B7, ilikuwa inaingia mnazi mmoja saa 9 ikitokea songea , baadaye zainab buss service nao wakanunua B7
 
Inabidi aje apunguzie hapa hapa Bongo kama walivyofanya Ilasi express
Akipiga hesabu vizuri ni bora kuachana nayo,irrizar model za kuanzia mwaka 2015 nyingi pale nyuma zinakuja na mfumo wa choo cha haja zote , ni mfumo complex maana unatumia mechanisms na automation Kama choo cha ndege kinavyofanya kazi , na nadhani moja ya expensive add on kit , kwenye price list ya hiyo Basi .
Akileta habari za kupunguza maana yake anajiingiza tu gharama
 
Akileta habari za kupunguza maana yake anajiingiza tu gharama.
Bongo kuna wababe wa modification ailete tu inaweza ikakatwa kipande chesisi hata Kati au mbele, wazee wa kazi Tabata hawashindwi.

Gharama zitakuwa kubwa kama body imejazwa sensor kibao.
 
Akipiga hesabu vizuri ni bora kuachana nayo,irrizar model za kuanzia mwaka 2015 nyingi pale nyuma zinakuja na mfumo wa choo cha haja zote , ni mfumo complex maana unatumia mechanisms na automation Kama choo cha ndege kinavyofanya kazi , na nadhani moja ya expensive add on kit , kwenye price list ya hiyo Basi .
Akileta habari za kupunguza maana yake anajiingiza tu gharama
Mkuu hawa Latra kwanini wanazuia hizi basi ndefu wakati mzungu kazitengeneza kisasa kwenye manouvre hizi basi ekseli ya mwisho inakata kona hakuna kuofia ajali.

Kama uzito wa kubeba mzigo waweke ambao utaendana na ekseli 3.
 
Shida ipo Tanroad sio latra
 
Scania sio mchezo
 
Attachments

  • Oasis_from_katima_to_Windhoek,_pushing_in_the_night,_time_check_23:30.(480p).mp4
    2.4 MB
Volvo ikiwa mpya sawa,Ila katika maisha yake ya mwisho zinasumbua sana , Kama hizo za dar mtwara
Miaka ya 90 ilikuwepo moja chiku express Volvo B7, ilikuwa inaingia mnazi mmoja saa 9 ikitokea songea , baadaye zainab buss service nao wakanunua B7
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] brother! Mara hii tu volvo imeingia kwenye kundi la wanaosuasua? Volvo hii hii Swedish machine?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] brother! Mara hii tu volvo imeingia kwenye kundi la wanaosuasua? Volvo hii hii Swedish machine?
Mlima !! Mimi sio wanna be fan , ni mtu ninayependa sana mechanics na naifuatilia hasa , of all the makes Swedish wako smart sana , Vovlo ni gari nzuri sana Ila sio kwa masikini.

Nikupe mfano tu scania Wana kitu wanaita modular concept , yaani spare moja inaweza kufunga kwenye zaidi ya engine moja , tena kwa kujitegemea , ukipata piston seizure kwa mfano scania unaweza ukadeal na individual cylinder maana Kila cylinder inajitegemea , hivo unaweza kufanya overhaul Kila piston kwa wakati wake , kazi ya kufungua na kufunga cylinder moja kwa scania ni masaa tu na inaweza kufanywa na mtu mmoja, sio kwa Volvo.
 
Na je scania wakiamua kutengeneza treni itakuwaje inamaana itakuwa bora zaidi ya mchina maana itakuwa inapandisha milima vizuri na kuwahi kufika, maana kuna maeneo treni huwa inajikongoja sana.
Hata hizo locomotives za TAZARA za kutoka CHINA hizo SDD 20 diesel engine na main generator wametumia kutoka kampuni ya General Electric Transport Division (GE).

Aina ya GE 7FDL H7 nani V 12.
 
Waweke maximum GVM ya basi kama hiyo ikiwa na mzigo ili ifanye kazi kwenye barabara zetu.

Exposure ni muhimu sana inabidi maofisa wapelekwe nchi mbalimbali wakajionee na kuja kufanya mabadiliko kwenye sekta ya usafirishaji abiria.
Unakuta maofisa ni wale wale mawazo mgando ata ukiwapeleke nje wanaweza wasijifunze kitu. Kwan ata kwenye tv hawaoni? Ama unataka kusema hawajui soko la usafirishaji nowday limebadirika nso wabadirike?
 
Back
Top Bottom