Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kama utaweka order kiwandani si wanalifupisha kidogo?Irrizar I series
kwa sheria za Tanroad , hiyo Basi itabidi itembee na mabango meupe yaliyoandikwa abnormal mbele na nyuma pamoja na vitambaa viwili vyekundu kwenye side mirrors , huku ikilazimika kutembea kuanzia saa 12 ya asubuhi na mwisho ni 12 jioni. Mana ni ndefu kwa mujib wa sheria zetu
Bei ni very close to billion moja kwa pesa ya Tanzania
Kwa matumizi ya bongo litafaa?