Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Scania ndiyo hawana! Benz wanazo model tofauti tofauti..
Wameenda mbali zaidi wana Actros mp1 V8!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wacha kutulisha matango pori usifikiri wote tumeanza kuyaelewa magari jana. Scania amewahi toa military vehicles anzia huko nyuma alianza na Tgb 30(SBA 111) na mengineyo mengi but in general hawa jamaa wamespecialize kweye commercial vehicles hata kwenye marine ametoa mashine haswa
 
"Balance na stability ya uhakika"
Unataka kusema nini? Mabasi yote yamefungwa speed limit, barabarani Kuna touch, huo mwendo Ni upi? Issue kubwa hapo Ni unafuu wa manunuzi na uendeshaji wa mabasi ya kichina basi.
 
Mbezi wameanza kuyapeleka na yale marefu...nahisi sheria imebadilika au wanaruhusa maalum
 
Hizo specs sio za truck ni za engine ... Diff haihusiki hapo
 
Torque huwa haipimwi huko inapimwa kwenye engine kabla hata ya gia box
 
Haiwezi kuwa sababu ...coz kina rabi , kiazi hazina busta na zinakula tuta
 
Hizi takwimu sijui zinatoka wapi au american trucks hazipo duniani? Maana peterbilt/kenworth wana hadi hp 1000 imekuwaje wawe nyuma ya hp 750?!
 
Hii thread imefocus kwenye European and asian truck kwa sana. Sasa ukisema American truck ata wanaozimili bongo ni wachache na nying niza kizaman sio zakisasa
 
Hizi takwimu sijui zinatoka wapi au american trucks hazipo duniani? Maana peterbilt/kenworth wana hadi hp 1000 imekuwaje wawe nyuma ya hp 750?!
American engines so as trucks hazitambi kwa european trucks
sababu mojawapo american hakuna ushindani linapokuja swala la engine manufactures, , so far, of all the american trucks names unazozijua , wote wana source engine kutoka kwa watengenezaji watatu tu maarufu, Detroit , cummins na caterpillar, hata hao kenworth , peterbilt mack etc wote hawana engine waliyoitengeneza kwa jina lao .kwa sasa Cat hawatengenezi tena truck engines kwa kuwa the last engines zilipata bad reputation ya kusumbua zikiwa mpya kabisa.
hizo 1000hp trucks , ni chipped versions , kwa ajili ya shows na prestiges sio applicable kwa normal truck operations .
kwa sasa the most powerful truck on the road ni scania 770s v8.
 
Hii thread imefocus kwenye European and asian truck kwa sana. Sasa ukisema American truck ata wanaozimili bongo ni wachache na nying niza kizaman sio zakisasa
hata kama ukizijumlisha na hizo american trucks , bado european trucks zipo juu in every aspects, except labda extravaganza ,
minnings in australia ndio sehemu pekee duniani american trucks zinakutana na european trucks , kufanya kazi aina moja , and European trucks are gaining good reputations kadiri muda unavyosonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…