Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Usiache kumtafuta sasa kwa ajili ya ushauri wa kitaalam siku ukitaka kuingiza chuma barabarani. Bila kusahau kuambatanisha bahasha ya posho au hamna hamna hata takrima kidogo tu ya sabuni kiongozi!
Atume tu namba yake ya simu nitatenda muujiza fasta
 
mkuu sahihi kabisa
vivuko vingi vya kiserikali vilikuwa powered na cummins , hata gensets za serikali pia nyingi ni cummins , na zinasumbua balaa .watu wamekariri vibaya on american engines, leo hii halmashauri wakinunua mtambo au wheelloaders basi itakuwa caterpillar. lakini kuna mashine za kijerumani liebherr zina outsmart caterpillar kuanzia ufanisi hadi kudumu.
Americans are good at creating a 'market hype' for their products.
 
Mkuu t blj najua American engines unazosema hazidumu, unazilinganisha na scania. Maana akina benz, iveco na hata volvo ulishawatoa kasoro.

Uliwahi kunibishia kuwa DAF XF ni imara na powerful kuliko Actros, wakati hiyo XF unayoikubali inatumia paccar engine from USA.

Kama haitoshi scania L series ambayo imeingia sokoni tangu 2017 kama sijakosea, inatumia American engine ambayo ni ndogo ila very very powerful.

Sasa wewe kama scania ambassador (just a joke bro [emoji4][emoji4]) kwanini msiendelee kutumia injini zenu zenye maisha marefu mkaamua kufata za marekani zenye maisha mafupi?
 
Jassie & company wanayo western star dump truck inapiga kazi mpaka kesho ila kuna 114 hapo hapo zimeshaaga mashindano.

DIAZ na TRH wanazo international na freightliner zinakomaa na transit mpaka kesho! Lakini kuna kampuni nyingi tu wanatumia European trucks na bado hawana uhakika na safari.
 
mlima mifano yako sio relevant na unaitumia unapotaka wewe tu
unapolinganisha mashine za kinarekani hakafu uje uipambanishe na 114 ya scania , clearly humaanishi mashindano bali upendeleo ,114 ni engine ya pili au tatu kwa udogo
mifano ya Trh na transit , kwanza uelewe Trh kama mmliliki wa Icd ana access na mizigo yote yenye faida kuisafirisha ,( light cargos) ile mizito anawaachia wengine , I ve lost count number of times ambapo lori zake zinaondoka na 40feet container ina gross ya tani 8 tu.
 
Mkuu t blj najua American engines unazosema hazidumu, unazilinganisha na scania. Maana akina benz, iveco na hata volvo ulishawatoa kasoro.

Uliwahi kunibishia kuwa DAF XF ni imara na powerful kuliko Actros, wakati hiyo XF unayoikubali inatumia paccar engine from USA.

Kama haitoshi scania L series ambayo imeingia sokoni tangu 2017 kama sijakosea, inatumia American engine ambayo ni ndogo ila very very powerful.

Sasa wewe kama scania ambassador (just a joke bro [emoji4][emoji4]) kwanini msiendelee kutumia injini zenu zenye maisha marefu mkaamua kufata za marekani zenye maisha mafupi?

mlima
nipo kwenye hiyo industry simaanishi upendeleo bali facts and only facts ,
tuliwahi kubishana hapa kuhusu merc benz , nataka nikwambie kwa njia ya songea waulize transafrica watakupa majibu, wamepigwa na expensive breakdowns za kutosha na hadi saa hii wameamua kununua fleets za howo 50 , no benz anymore.mind you benz zilikuww low milage trucks

habari za daf kuwa powerful sio za mtaan. zipo na zinaishi ukikutana na euro 5 au six daf utakuja kuhadithia
kuhusu scania kutumia american engine huo ni uzushi, scania haijawahi kuwa na engine options kutoka kwa mtengenezaji yoyote zaidi yao na ndio sababu alilikosa soko la america kutokana na misimamo huo , L series unayosemea ilitengenezwa kwa mara ya mwisho 2005 , baada ya hapo kukaja P R T &G series , hiyo L series ya mwaka 2017 haipo.

nikipata muda nitakupa link uone jinsi kampuni ya kijerumani ambayo ina miaka 86 ya haulage ku supply metal kwenye kiwanda cha kutengeneza magari ya benz.mwaka huu wameamua kutumia truks za vovlo fh750 pamoja na scania 770s , kufanya kazi hiyo , pia wameshinda kesi ya msingi ya fidia kwa benz , kwa kuwa truck zao hazikuwa reliable baada ya km 500,000 za mwanzo, demo volvo did 1000000 km , without breakdowns, the easy way outsmarting nealy all benz, terrain ni 620km ya milima mikali mixer snow.

so to build your next merc truck , material will be supplied by swedish volvo and scania in German territory.
 
mkuu sahihi kabisa
vivuko vingi vya kiserikali vilikuwa powered na cummins , hata gensets za serikali pia nyingi ni cummins , na zinasumbua balaa .watu wamekariri vibaya on american engines, leo hii halmashauri wakinunua mtambo au wheelloaders basi itakuwa caterpillar. lakini kuna mashine za kijerumani liebherr zina outsmart caterpillar kuanzia ufanisi hadi kudumu.
Sikupingi huwezi linganisha engine za MTU za mjerumani na engine kama EMD 710 Serious kwanzia efficiency hata kudumu.
 
mlima mifano yako sio relevant na unaitumia unapotaka wewe tu
unapolinganisha mashine za kinarekani hakafu uje uipambanishe na 114 ya scania , clearly humaanishi mashindano bali upendeleo ,114 ni engine ya pili au tatu kwa udogo
mifano ya Trh na transit , kwanza uelewe Trh kama mmliliki wa Icd ana access na mizigo yote yenye faida kuisafirisha ,( light cargos) ile mizito anawaachia wengine , I ve lost count number of times ambapo lori zake zinaondoka na 40feet container ina gross ya tani 8 tu.
Ukiona nimefanya comparison ujue hizo gari ziko sawa kuanzia displacement mpaka kazi zinafanya sawa katika muda ule ule! Hivyo sijaionea 114 hata kidogo.

Kuhusu TRH, unataka kumaanisha zile American trucks zimedumu kwa sababu tu zinafanya kazi nyepesi?

Hukuwahi kuziona zikiwa zimebeba sulphur na kurudi na copper? Uzito zinaobeba ndio huo huo gari zingine zinabeba.
 
mlima
nipo kwenye hiyo industry simaanishi upendeleo bali facts and only facts ,
tuliwahi kubishana hapa kuhusu merc benz , nataka nikwambie kwa njia ya songea waulize transafrica watakupa majibu, wamepigwa na expensive breakdowns za kutosha na hadi saa hii wameamua kununua fleets za howo 50 , no benz anymore.mind you benz zilikuww low milage trucks

habari za daf kuwa powerful sio za mtaan. zipo na zinaishi ukikutana na euro 5 au six daf utakuja kuhadithia
kuhusu scania kutumia american engine huo ni uzushi, scania haijawahi kuwa na engine options kutoka kwa mtengenezaji yoyote zaidi yao na ndio sababu alilikosa soko la america kutokana na misimamo huo , L series unayosemea ilitengenezwa kwa mara ya mwisho 2005 , baada ya hapo kukaja P R T &G series , hiyo L series ya mwaka 2017 haipo.

nikipata muda nitakupa link uone jinsi kampuni ya kijerumani ambayo ina miaka 86 ya haulage ku supply metal kwenye kiwanda cha kutengeneza magari ya benz.mwaka huu wameamua kutumia truks za vovlo fh750 pamoja na scania 770s , kufanya kazi hiyo , pia wameshinda kesi ya msingi ya fidia kwa benz , kwa kuwa truck zao hazikuwa reliable baada ya km 500,000 za mwanzo, demo volvo did 1000000 km , without breakdowns, the easy way outsmarting nealy all benz, terrain ni 620km ya milima mikali mixer snow.

so to build your next merc truck , material will be supplied by swedish volvo and scania in German territory.
Mkuu usijustify ubovu wa benz kwa kigezo cha TransAfrica tu!

Yapi merkez anatumia MP4 8×4 kwa wingi sana kubeba vifusi ambapo body linajaa zaidi ya 20 cubic metres lakini ukiziona gari ni kama zimeingia nchini jana.

Tukirudi kwenye scania, umenishangaza sana mpaka sasa hujajua kuna scania L series 2017 model yenye paccar engine with 7L displacement? Usiniabishe bro! Wewe ni balozi ujue [emoji28][emoji28][emoji28]

Na hizo DAF unazozikubali zinatumia paccar engines ambazo ndiyo hizo hizo zilizoko kwenye kenworth na peterbilt! Ukiikubali daf lazima u'appreciate the power of American built engines mkuu!
 
Brother t blj niliposema L series nilimaanisha hii hapa chini. Ila wewe ulikimbilia 4 series ndiyo maana ukajibu mwisho wake ulikuwa 2005!

Sasa haka kamdudu kanatumia 7L American built engine inayotoa up to 280hp ambayo previously 280 hp kwenye P series ilipatikana kwenye 9L.

Hebu wewe niambie ni American truck ipi iliwahi kutumia scania engine.
Screenshot_2021-04-26-19-28-07-1.jpg
 
mlima
nipo kwenye hiyo industry simaanishi upendeleo bali facts and only facts ,
tuliwahi kubishana hapa kuhusu merc benz , nataka nikwambie kwa njia ya songea waulize transafrica watakupa majibu, wamepigwa na expensive breakdowns za kutosha na hadi saa hii wameamua kununua fleets za howo 50 , no benz anymore.mind you benz zilikuww low milage trucks

habari za daf kuwa powerful sio za mtaan. zipo na zinaishi ukikutana na euro 5 au six daf utakuja kuhadithia
kuhusu scania kutumia american engine huo ni uzushi, scania haijawahi kuwa na engine options kutoka kwa mtengenezaji yoyote zaidi yao na ndio sababu alilikosa soko la america kutokana na misimamo huo , L series unayosemea ilitengenezwa kwa mara ya mwisho 2005 , baada ya hapo kukaja P R T &G series , hiyo L series ya mwaka 2017 haipo.

nikipata muda nitakupa link uone jinsi kampuni ya kijerumani ambayo ina miaka 86 ya haulage ku supply metal kwenye kiwanda cha kutengeneza magari ya benz.mwaka huu wameamua kutumia truks za vovlo fh750 pamoja na scania 770s , kufanya kazi hiyo , pia wameshinda kesi ya msingi ya fidia kwa benz , kwa kuwa truck zao hazikuwa reliable baada ya km 500,000 za mwanzo, demo volvo did 1000000 km , without breakdowns, the easy way outsmarting nealy all benz, terrain ni 620km ya milima mikali mixer snow.

so to build your next merc truck , material will be supplied by swedish volvo and scania in German territory.
Basi kaka inatosha daaah[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Hapo kwenye kampuni ya germany kubadili gari zake ndio uliponimaliza kabisa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]sitaki kujua umejuaje
 
Brother t blj niliposema L series nilimaanisha hii hapa chini. Ila wewe ulikimbilia 4 series ndiyo maana ukajibu mwisho wake ulikuwa 2005!

Sasa haka kamdudu kanatumia 7L American built engine inayotoa up to 280hp ambayo previously 280 hp kwenye P series ilipatikana kwenye 9L.

Hebu wewe niambie ni American truck ipi iliwahi kutumia scania engine.View attachment 1765010
mlima
L series ya mwanzo ilimaanisha" long haulage " na ilicover engine outputs karibia zote kuanzia 94L to 164L

L series uliyoweka pichani inamaasha light work na haina engine options zote , kiufupi ni model ambayo sio popular , na sikutegemea kama ungeileta kwenye argument kama hizi hapa
All in all hii imekuwa powered na scania wenyewe , japokuwa baadhi ya structures ziliwahi kuwa pioneered na cummins kwenye paccar px series ambayo ilifail miserably.
Screenshot_2021-04-26-20-25-27-71.jpg
 
mlima
kwa Tanzania njia ngumu kuliko zote kwa truck ni songea,
Daf nazikubali kwa nguvu na mwendo , but that doent mean ill recommend anyone to buy one. maisha yake ni mafupi sana ikifanya kazi kwa mishe mishe , Daf euro. 5 kwa mfano zilikuja na faulty turbocharger , hadi zilipokuja kuwa recalled na kuweka titanium turbo, ukiuliza leo matajiri wa kibongo waliozikurupukia euro 5 watakwambia mziki wake hiyo turbo iikifa , ni full engine rebuild , no option. wengi hawakuweza kuzirudisha tena barabarani.
kuna mtu mwaka 2016 alidanganywa akashusha hizo piterbilt na kenworth downtown Ruvuma kubeba mahindi ya Wfp, katika fleet ya gari tano njombe ilitoboa moja tu ,
 
mlima
L series ya mwanzo ilimaanisha" long haulage " na ilicover engine outputs karibia zote kuanzia 94L to 164L

L series uliyoweka pichani inamaasha light work na haina engine options zote , kiufupi ni model ambayo sio popular , na sikutegemea kama ungeileta kwenye argument kama hizi hapa
All in all hii imekuwa powered na scania wenyewe , japokuwa baadhi ya structures ziliwahi kuwa pioneered na cummins kwenye paccar px series ambayo ilifail miserably. View attachment 1765051
Brother hoja haikuwa light duty or heavy duty, hoja ilikua scania kutumia american built engine wakati wewe unaziponda!

Umeshangaa mimi kuileta hapa wakati nayo ni truck mzee? Tena imekuwa designed as 26 tonner gvm..

Hebu nipe ushahidi wa kufail kwake na imekuwa replaced na injini ipi

Hapo chini wamesema kabisa ni cummins built View attachment 1765140
 
scania uliyoleta hapa inatumia engine ya Dc 07, Dc ni code name ya engine za scania, dc 09 ,dc 11 dc 14 etc
paccar unayosema ni PX 7
kwa nini unalazmisha dc iwe px?
 
mlima
kwa Tanzania njia ngumu kuliko zote kwa truck ni songea,
Daf nazikubali kwa nguvu na mwendo , but that doent mean ill recommend anyone to buy one. maisha yake ni mafupi sana ikifanya kazi kwa mishe mishe , Daf euro. 5 kwa mfano zilikuja na faulty turbocharger , hadi zilipokuja kuwa recalled na kuweka titanium turbo, ukiuliza leo matajiri wa kibongo waliozikurupukia euro 5 watakwambia mziki wake hiyo turbo iikifa , ni full engine rebuild , no option. wengi hawakuweza kuzirudisha tena barabarani.
kuna mtu mwaka 2016 alidanganywa akashusha hizo piterbilt na kenworth downtown Ruvuma kubeba mahindi ya Wfp, katika fleet ya gari tano njombe ilitoboa moja tu ,
Naielewa vizuri hiyo njia, hizo peterbilt na kenworth zilikaa mda gani na sasa ziko wapi? Sorry for this question.

Kuna gari nyingi tu zina uwezo wa kawaida zinakomaa na makaa daily kama zile dongfeng za dollowboy, p410 tena single diff nilikuwa nakutana nazo ije kuwa peterbilt?

Hapa mpaka unipe maelezo ya kutosha ndiyo ntaamini! Pengine labda hazikuwa na matunzo

Stralis pia uliwahi kuziponda, lakini nas haulage ndiyo wanasombea makaa mpaka kesho
 
Back
Top Bottom