Usiache kumtafuta sasa kwa ajili ya ushauri wa kitaalam siku ukitaka kuingiza chuma barabarani. Bila kusahau kuambatanisha bahasha ya posho au hamna hamna hata takrima kidogo tu ya sabuni kiongozi!You deserve my salute
Atume tu namba yake ya simu nitatenda muujiza fastaUsiache kumtafuta sasa kwa ajili ya ushauri wa kitaalam siku ukitaka kuingiza chuma barabarani. Bila kusahau kuambatanisha bahasha ya posho au hamna hamna hata takrima kidogo tu ya sabuni kiongozi!
Americans are good at creating a 'market hype' for their products.mkuu sahihi kabisa
vivuko vingi vya kiserikali vilikuwa powered na cummins , hata gensets za serikali pia nyingi ni cummins , na zinasumbua balaa .watu wamekariri vibaya on american engines, leo hii halmashauri wakinunua mtambo au wheelloaders basi itakuwa caterpillar. lakini kuna mashine za kijerumani liebherr zina outsmart caterpillar kuanzia ufanisi hadi kudumu.
kweli kabisa,Americans are good at creating a 'market hype' for their products.
Jassie & company wanayo western star dump truck inapiga kazi mpaka kesho ila kuna 114 hapo hapo zimeshaaga mashindano.Americans are good at creating a 'market hype' for their products.
mlima mifano yako sio relevant na unaitumia unapotaka wewe tuJassie & company wanayo western star dump truck inapiga kazi mpaka kesho ila kuna 114 hapo hapo zimeshaaga mashindano.
DIAZ na TRH wanazo international na freightliner zinakomaa na transit mpaka kesho! Lakini kuna kampuni nyingi tu wanatumia European trucks na bado hawana uhakika na safari.
Mkuu t blj najua American engines unazosema hazidumu, unazilinganisha na scania. Maana akina benz, iveco na hata volvo ulishawatoa kasoro.
Uliwahi kunibishia kuwa DAF XF ni imara na powerful kuliko Actros, wakati hiyo XF unayoikubali inatumia paccar engine from USA.
Kama haitoshi scania L series ambayo imeingia sokoni tangu 2017 kama sijakosea, inatumia American engine ambayo ni ndogo ila very very powerful.
Sasa wewe kama scania ambassador (just a joke bro [emoji4][emoji4]) kwanini msiendelee kutumia injini zenu zenye maisha marefu mkaamua kufata za marekani zenye maisha mafupi?
Sikupingi huwezi linganisha engine za MTU za mjerumani na engine kama EMD 710 Serious kwanzia efficiency hata kudumu.mkuu sahihi kabisa
vivuko vingi vya kiserikali vilikuwa powered na cummins , hata gensets za serikali pia nyingi ni cummins , na zinasumbua balaa .watu wamekariri vibaya on american engines, leo hii halmashauri wakinunua mtambo au wheelloaders basi itakuwa caterpillar. lakini kuna mashine za kijerumani liebherr zina outsmart caterpillar kuanzia ufanisi hadi kudumu.
Ukiona nimefanya comparison ujue hizo gari ziko sawa kuanzia displacement mpaka kazi zinafanya sawa katika muda ule ule! Hivyo sijaionea 114 hata kidogo.mlima mifano yako sio relevant na unaitumia unapotaka wewe tu
unapolinganisha mashine za kinarekani hakafu uje uipambanishe na 114 ya scania , clearly humaanishi mashindano bali upendeleo ,114 ni engine ya pili au tatu kwa udogo
mifano ya Trh na transit , kwanza uelewe Trh kama mmliliki wa Icd ana access na mizigo yote yenye faida kuisafirisha ,( light cargos) ile mizito anawaachia wengine , I ve lost count number of times ambapo lori zake zinaondoka na 40feet container ina gross ya tani 8 tu.
Mkuu usijustify ubovu wa benz kwa kigezo cha TransAfrica tu!mlima
nipo kwenye hiyo industry simaanishi upendeleo bali facts and only facts ,
tuliwahi kubishana hapa kuhusu merc benz , nataka nikwambie kwa njia ya songea waulize transafrica watakupa majibu, wamepigwa na expensive breakdowns za kutosha na hadi saa hii wameamua kununua fleets za howo 50 , no benz anymore.mind you benz zilikuww low milage trucks
habari za daf kuwa powerful sio za mtaan. zipo na zinaishi ukikutana na euro 5 au six daf utakuja kuhadithia
kuhusu scania kutumia american engine huo ni uzushi, scania haijawahi kuwa na engine options kutoka kwa mtengenezaji yoyote zaidi yao na ndio sababu alilikosa soko la america kutokana na misimamo huo , L series unayosemea ilitengenezwa kwa mara ya mwisho 2005 , baada ya hapo kukaja P R T &G series , hiyo L series ya mwaka 2017 haipo.
nikipata muda nitakupa link uone jinsi kampuni ya kijerumani ambayo ina miaka 86 ya haulage ku supply metal kwenye kiwanda cha kutengeneza magari ya benz.mwaka huu wameamua kutumia truks za vovlo fh750 pamoja na scania 770s , kufanya kazi hiyo , pia wameshinda kesi ya msingi ya fidia kwa benz , kwa kuwa truck zao hazikuwa reliable baada ya km 500,000 za mwanzo, demo volvo did 1000000 km , without breakdowns, the easy way outsmarting nealy all benz, terrain ni 620km ya milima mikali mixer snow.
so to build your next merc truck , material will be supplied by swedish volvo and scania in German territory.
Basi kaka inatosha daaah[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mlima

mlimaBrother t blj niliposema L series nilimaanisha hii hapa chini. Ila wewe ulikimbilia 4 series ndiyo maana ukajibu mwisho wake ulikuwa 2005!
Sasa haka kamdudu kanatumia 7L American built engine inayotoa up to 280hp ambayo previously 280 hp kwenye P series ilipatikana kwenye 9L.
Hebu wewe niambie ni American truck ipi iliwahi kutumia scania engine.View attachment 1765010
Brother hoja haikuwa light duty or heavy duty, hoja ilikua scania kutumia american built engine wakati wewe unaziponda!mlima
L series ya mwanzo ilimaanisha" long haulage " na ilicover engine outputs karibia zote kuanzia 94L to 164L
L series uliyoweka pichani inamaasha light work na haina engine options zote , kiufupi ni model ambayo sio popular , na sikutegemea kama ungeileta kwenye argument kama hizi hapa
All in all hii imekuwa powered na scania wenyewe , japokuwa baadhi ya structures ziliwahi kuwa pioneered na cummins kwenye paccar px series ambayo ilifail miserably. View attachment 1765051
mlimaBrother hoja haikuwa light duty or heavy duty, hoja ilikua scania kutumia american built engine wakati wewe unaziponda!
Umeshangaa mimi kuileta hapa wakati nayo ni truck mzee? Tena imekuwa designed as 26 tonner gvm..
Hebu nipe ushahidi wa kufail kwake na imekuwa replaced na injini ipi
Hapo chini wamesema kabisa ni cummins built View attachment 1765140
Naielewa vizuri hiyo njia, hizo peterbilt na kenworth zilikaa mda gani na sasa ziko wapi? Sorry for this question.mlima
kwa Tanzania njia ngumu kuliko zote kwa truck ni songea,
Daf nazikubali kwa nguvu na mwendo , but that doent mean ill recommend anyone to buy one. maisha yake ni mafupi sana ikifanya kazi kwa mishe mishe , Daf euro. 5 kwa mfano zilikuja na faulty turbocharger , hadi zilipokuja kuwa recalled na kuweka titanium turbo, ukiuliza leo matajiri wa kibongo waliozikurupukia euro 5 watakwambia mziki wake hiyo turbo iikifa , ni full engine rebuild , no option. wengi hawakuweza kuzirudisha tena barabarani.
kuna mtu mwaka 2016 alidanganywa akashusha hizo piterbilt na kenworth downtown Ruvuma kubeba mahindi ya Wfp, katika fleet ya gari tano njombe ilitoboa moja tu ,