Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Shida ya huyu mwamba itakua amekariri kuhusu scania yeye kitu kingine hajui mimi nimetumia scania 113 mpaka hizi r420 g460 nimetumia benz kuanzia power liner mpaka hizi actros benz ni best truck hivyo
Upo sahihi kabisa Mkuu namwambia tunatumia Scania kwa mazoea tuu ila unakua uhakika wa Safari hamna kwa sisi tukitoka huko tukaingia brand ingine baada ya kujichanga sana unashukuru Mungu leo anakuja mtu anakwambia Scania ni Bora kwa man hizo hiyo inapakia mzigo JHB uhakika wa kufika Dar labda igongwe lakini sio break down za ajabu ajabu Kama za Scania....ulipita bara bara ya kapiri mpaka Tunduma angalia vijana wanavyohangaika na Scania zao uzuri vitu vya kuunga unga wanapata popote ila sio truck ya uhakika kwa Safari...
 
... uko sahihi. Probability ya gari T 605 DTR kugombaniwa na abiria ni kubwa kuliko T 605 BXY hilo halina ubishi regardless of brand!
Mi binafsi napanda Mchina, ndani yako comfortable, space ya kutosha kwa mabasi ya seat za 2x2. Scania zenye hali nzuri kwa level ya mchina kwa sasa sidhani kama zipo za kutosha.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Scania iko vizuri na inavumilia sana. Mfano mabasi ya Abood yapo mpaka leo na yanapiga mzigo, isipokua tayari inakosa mambo ya kisasa, lakini kwa upande wa body na Engine, bado ziko poa, zinapiga mzigo tena route ndefu. Yutong pamoja na kutumia engine za Cumnis bado baada ya miaka michache, linakua limechoka
 
Huwa sipendi kubishana na mtu huwa napendelea facts. Niko na facts wala sijaropoka, ulitaka Latra wakubali au mkubali kuwa hii kitu haipo tena? Nambie leo ni basi gani linatumia hio kitu? Hio corruption unayozungumzia ndio na mimi naizungumzia kuwa hii ilikua ni corrupt project ya watu. Uzuri huw anatumia speedometer kila nikisafiri kwa basi na niko na evidence, thi shsit doesnt exist tena.

Leo hii basi la kutoka Mbeya linafika Dar saa mbili usiku, la Mwanza saa tano hadio sita....niko na screeshots kibao mtu anatembea hadi 140km/hr usiku.
Mkuu kwanza uelewe generation ya mwisho ya kudhibiti mwendo kwa mabasi Tanzania hakikuwa kifaa Cha kudhibiti mwendo Kama speed limiter , Bali Ni gps tracker ambayo imeunganishwa na software, dereva hadhibitiwi kwa maana ya basi eti litakata mwendo la , kinachofanyika ni kuwa mwendo Kasi na location lilipo basi , vyote vinaonekana in real time kwenye computer za Latra.

Dereva kimbia unavojua kukimbia , hata 160 km/h Ila ukifika point unakuja kuletewa mkeka wako wa mwendokasi pamoja na location ya tukio ,jumlisha na faini, Na faini haiwi moja , utapigiwa kila point uliyozidisha 85km /h kwa safari hiyo Kama ulizidisha Mara kumi hesabu yake utaikuta point ya mwisho, ukitembea 140km adhabu nadhan ni kufungiwa leseni.

Rushwa ipo kwa mtu anaye monitor information za gps tracker, ndo maderva wakishajua yupo Nani kwenye computer wanatiririka

Sent
 
Huwa sipendi kubishana na mtu huwa napendelea facts. Niko na facts wala sijaropoka, ulitaka Latra wakubali au mkubali kuwa hii kitu haipo tena? Nambie leo ni basi gani linatumia hio kitu? Hio corruption unayozungumzia ndio na mimi naizungumzia kuwa hii ilikua ni corrupt project ya watu. Uzuri huw anatumia speedometer kila nikisafiri kwa basi na niko na evidence, thi shsit doesnt exist tena.

Leo hii basi la kutoka Mbeya linafika Dar saa mbili usiku, la Mwanza saa tano hadio sita....niko na screeshots kibao mtu anatembea hadi 140km/hr usiku.
Vts bado zipo mkuu usidanganyike na story za kahawa kila kukicha watu wanafungiwa huko
Ingawa kucheat nako kupo
 
Upo sahihi kabisa Mkuu namwambia tunatumia Scania kwa mazoea tuu ila unakua uhakika wa Safari hamna kwa sisi tukitoka huko tukaingia brand ingine baada ya kujichanga sana unashukuru Mungu leo anakuja mtu anakwambia Scania ni Bora kwa man hizo hiyo inapakia mzigo JHB uhakika wa kufika dar labda igongwe lakini sio break down za ajabu ajabu Kama za Scania....ulipita bara bara ya kapiri mpaka Tunduma angalia vijana wanavyohangaika na Scania zao uzuri vitu vya kuunga unga wanapata popote ila sio truck ya uhakika kwa Safari...
Acha kukariri mkuu tanzania matajiri wanaonunua scania mpya ni wachache sana wengi wananunua used alafu cha pili inategemea na muhusika anajali vipi gari
 
Nitajie Mercedes yoyote unayoijua yenye torque Zaid ya 3000nm
We use torque to haul , Kama huna lolote unalolijua kuhusu torque then you are not serious haulier .
Mercedes zilivuma na jina tu na watu mnakariri , ni Kama vile, I phone...
Sema mkuu huwa unamkubali sana mswedish upo kama brother E sub scn mwanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Shida ya huyu mwamba itakua amekariri kuhusu scania yeye kitu kingine hajui mimi nimetumia scania 113 mpaka hizi r420 g460 nimetumia benz kuanzia power liner mpaka hizi actros benz ni best truck hivyo
Tubishane kwa facts sio history, sikatai Daimler zina mazuri yake , mfano fuel consumption, diff za uhakika etc , Ila usisifie nguvu kwa Benz, usisifie uimara pia , nipo kwenye kazi ambayo ni too demanding, Germany dogs Man na Mercedes they just don't last.
Na nina mifano hai

Sent
 
Shida ya huyu mwamba itakua amekariri kuhusu scania yeye kitu kingine hajui mimi nimetumia scania 113 mpaka hizi r420 g460 nimetumia benz kuanzia power liner mpaka hizi actros benz ni best truck hivyo
Tena Kwanzia Prime mover mpaka Power train
 
Bujibuji hivi Sauli anaenda Kyela?
Hapana mkuu, Kyela Kuna Kyela Express, Rungwe, Majinja Special Na New Force Tu. Kwa Sasa Naona Rungwe Ndio Inayochana Geti Kila Siku Japo kipindi cha katikati hapo kipindi cha korona Kuna Dereva anaitwa Jose alikuwa naendesha Kyela Express Moja DHF alikuwa anachana geti la Mbeya, Hakuna Cha Sauli Wala Nini. Huyu Jose Keshachukua Pampu Yake kwa sasa yuko na Sauli
 
Nazungumzia hizi tunazonunua na kuzitumia kila siku zilizopo Africa...kama Scania 124 R420 na series ya P zake kwa Man TGA 27.400 man tgs 18.330, Man TGA 35.400, Man TGS 26.480 au man TGS 26.480, man 27.440 ya 2015 au man TGA 26.410 hizi zote gari na hata Scania isiwe chini ya 2010 zote zicheze miaka inayokaribiana....man inapanda mlima na tano mzee
Hauko fair kwenye kulinganisha , ndo Mana unapata jibu unalolipenda , ukitaka kulinganisha utamu wa chungwa la muheza linganisha na chungwa la pwani , usilinganishe na nanasi la kiwangwa!

Man 440 ilinganishe na scania 440, halafu let's mrejesho, man euro 5 linganisha na scania euro 5 scania 124 ukiingia sokoni miaka ya 1996 , sio fair kuipambanisha na man za 2015.

Hivi unafahamu majority ya gearbox za man ni 16 speed ? Na kwamba gia namba 5 ni moja ya gia za low? Kwenye 12 speed ni equivalent ya namba 2 au 3, sasa imagine Leo unasifia Lori unapanda milima na gear za low wakati 440 ya mwaka 2013 inapanda kitonga na high range.

Sent
 
Hapana mkuu, Kyela Kuna Kyela Express, Rungwe, Majinja Special Na New Force Tu. Kwa Sasa Naona Rungwe Ndio Inayochana Geti Kila Siku Japo kipindi cha katikati hapo kipindi cha korona Kuna Dereva anaitwa Jose alikuwa naendesha Kyela Express Moja DHF alikuwa anachana geti la Mbeya, Hakuna Cha Sauli Wala Nini. Huyu Jose Keshachukua Pampu Yake kwa sasa yuko na sauli
Haya nayafahamu ila nilidhani Saul naye katia timu
 
Upo sahihi kabisa Mkuu namwambia tunatumia Scania kwa mazoea tuu ila unakua uhakika wa Safari hamna kwa sisi tukitoka huko tukaingia brand ingine baada ya kujichanga sana unashukuru Mungu leo anakuja mtu anakwambia Scania ni Bora kwa man hizo hiyo inapakia mzigo JHB uhakika wa kufika dar labda igongwe lakini sio break down za ajabu ajabu Kama za Scania....ulipita bara bara ya kapiri mpaka Tunduma angalia vijana wanavyohangaika na Scania zao uzuri vitu vya kuunga unga wanapata popote ila sio truck ya uhakika kwa Safari...
Isanga
Nabishana na wewe sababu inaonekana una exposure lakini umegoma kuitumia kwa sababu unazozijua wewe , safari ya jo burg kuja dar , Ni moja ya safari rahisi na most relaxing one , kwa truck ,maana hutembei zaidi ya km 1000 kabla hujakutana na boarder posts ambazo utazima na kupumzisha gari, Kama ni kweli ulikuwa unapata breakdown za kutosha kwa safari simple Kama hiyo , clearly hauko makini kwenye ku specify scania ya kufanya nayo kazi, au ulikuwa unanunua gari mbovu.

Moja ya norm zetu Ni safari ya kyela to mutukula bukoba @ 30 tons,km 1800 huwa hatuzimi hadi tufike mana trucks Ni double manned, gari Ina miaka 19 kwa sasa toka itengenezwe sisi ilitufikia mtumba mwaka 2014 ikiwa na km 1,600,000 na sasa Lina km 2,300,000. In it's original bore .

Sent
 
Zile body zake akazibadilishia chasis akaweka scania f95-270 zilikiwa 5
T121 CZB
T122 CZB
T580 CFP iliungua
T DCE
T DCN

Zote zilikuwa benzi zamani
Afadhali unisaidie , Mana Kuna watu wamekariri Benz na sidhan wanajua mapungufu yake , wanyaruanda wanakula hasara za kutosha songea kwenye Actross na gari bado mpya kabisa

Sent
 
Wadau naomba kuuliza kati ya hzo basi mbili Hapo chini huko zinakouzwa ipi ipo bei juu?
200620_141222_COLLAGE-1.jpeg
 
Vts bado zipo mkuu usidanganyike na story za kahawa kila kukicha watu wanafungiwa huko
Ingawa kucheat nako kupo
Mkuu upo updated Sana ,watu wanadanganyana na story zina trend kwa vitu ambavyo ni tofauti kabisa , just hear say, mtu anajenga hoja

Sent
 
Back
Top Bottom