Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

DMG series za kina swai. Hadi sasa record ya kufika mapema sumbawanga inashikiliwa na JAJA the brazilian alivyopewa aonje route ya sumbawanga
Golden deeer gani ya kutembea na bul??
 
Hakuna unachokijua ila unajifanya unajua dogo kuna gari moja imechoka ndio inapeleka mafuta Rwanda na DRC...ukiwa na gari mbovu sio kwamba hautafika ila utapata tabu sana kule tunakuita UEFA...
Isanga wewe ni mtu wa barabarani kweli? Rwanda ninoa kwenda na gari mbovu? Huko south unakosifia ni safari Kuna milima gani , kutoka dar Sana Sana nitakuhesabia milima haizidi sita kitonga, mlima nyoka Mbeya, mbalizi danger hill Zambia.

safu ya milima ya kuteremkia chirundu boader , na makuti Zimbabwe ukisha kuwa makuti Ni kuteleza tu had jozi Rwanda kufika tu Kigali Ni mziki, ukizumgumzia bugarama ndo kabisa. Huko south no mewahi kutoka na magari mabovu kabisa na sijawahi kulala njiani , Ni safari rahisi sana.

Sent
 
Mkuu msifike mbali sana, wewe na brother t blj ni miongoni mwa wachangiaji wenye kuheshimika sana!
Haha mkuu binafsi siko serious kivile napenda tu tuweke facts mezani , ukiona mtu anapanick na kuanza kutukana jua anaanza kukosa facts , it is automatic.

Uzuri alikopita nimepita pia, japo mwenzangu anaonekana na ukwasi upo ndo mana aniita mie "dogo"

Sent
 
Isanga wewe ni mtu wa barabarani kweli? Rwanda ninoa kwenda na gari mbovu?
Huko south unakosifia ni safari Kuna milima gani , kutoka dar Sana Sana nitakuhesabia milima haizidi sita kitonga , mlima nyoka Mbeya , mbalizi danger hill Zambia , safunyanmilima ya kuteremkia chirundu boader , na makuti Zimbabwe ukisha kuwa makuti Ni kuteleza tu had jozi..
Hayakua mabovu Mkuu gari mbovu huwezi kutoboa uliliona bovu ila lenyewe lipo ok mbona yapo mengi hayo,mlima chiwete wa malawi utafananisha na mlima upi huku kwetu au Chirundu au Chinoyi wa Zimbabwe nachosema kupita hizi bara bara mara kwa mara kunahitaji gari iliyo nzima na ndio maana unaona gari za mbali ni nzima tofauti na za Safari za ndani huwezi fananisha DRC au Rwanda na SA acha utani bhana ingawaje Rwanda ina milima sana na gari nyingi zinazokwenda kule sio nzima kivile tunaziona na zingine za jamaa zetu wadogo tunaona wanaunga unga tuu...
 
Isanga wewe ni mtu wa barabarani kweli? Rwanda ninoa kwenda na gari mbovu? Huko south unakosifia ni safari Kuna milima gani , kutoka dar Sana Sana nitakuhesabia milima haizidi sita kitonga , mlima nyoka Mbeya , mbalizi danger hill Zambia , safunyanmilima ya kuteremkia chirundu boader , na makuti Zimbabwe ukisha kuwa makuti Ni kuteleza tu had jozi...
Mkuu tukumbushane kama umepita pia Chinoyi au kazungura baada ya kutoka Livingston ukishatoka kabwe gari pale huwa zinapumzishwa au kuchekiwa kwa sababu ya kile kilima na ile ni shortcut tofauti na kupita Zimbabwe maroli mengi ya Transit yanapita Botswana kwa sababu sio wasumbufu mpaka unawamaliza tofauti na Zimbabwe kila sehemu stop checking za kumwaga na Wanataka rushwa...
 
Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.

Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia basi hizi kwasababu ya ulaji mdogo wa mafuta, bodi nzuri, interior design, na unafuu wa vipuri...
Anayedharau Scania namuangalia na kucheka kwa kicheko cha Magu (ihiiiiiii). Scania za Abood zipo tangu 2004, mpaka leo zinapiga trip ndefu za Dar Mwanza na Dar Tunduma, zina namba AYL ama AXF. Zhongotng yenye namba CDD ishajichokea kabisa
 
Haha mkuu binafsi siko serious kivile napenda tu tuweke facts mezani , ukiona mtu anapanick na kuanza kutukana jua anaanza kukosa facts , it is automatic,
Uzuri alikopita nimepita pia, japo mwenzangu anaonekana na ukwasi upo ndo mana aniita mie "dogo"

Sent
Ila nadhani mlitofautiana sehemu ndogo tu!

Nafikiri hakumaanisha kuwa hiyo ni ruti ngumu, bali ili uaminike lazima uwe na gari nzuri isiyotia shaka yoyote.

Pamoja na gari kuwa nzuri, lakini bado anazikuta njiani zina break down(scania) [emoji28][emoji28]..
 
Wateja hawapendi gari linalodumu, T061APN bali wanapenda gari jipya, linalovutia ndani, lenye WI-FI, unaweza kuchaji simu na tablet, TV, nk.
Hivi mkuu nikuulize,ktk kupanda kwako hii michina kuna siku hata moja umefanikiwa kukutana na lenye hiyo huduma ya Wi-Fi?

Mie wakati huo yanatoka na ujinga wangu naenda kwetu nikajisemea ngoja nipande kitu luxury sikumbuki nilichokipata zaidi ya kuuwa battery yangu ya Nokia Lumia na system kuvurugika mpaka leo ipo kabatini.

Mchina siyo mtu mzuri!
 
Si kweli, mchina zipo vizur zaid mliman, zhongthong climber ni horsepower 360 mzee
Mkuu Climber mlimani inapanda kasi tofauti na watu wanavyoidharau. Tofauti moja ambayo itakuwepo kati ya Benz/Scania na Cummins injini ni hao Scania/Benz watapanda kwa low RPM tofauti kidogo na Cummins.
 
Anayedharau Scania namuangalia na kucheka kwa kicheko cha Magu (ihiiiiiii). Scania za Abood zipo tangu 2004, mpaka leo zinapiga trip ndefu za Dar Mwanza na Dar Tunduma, zina namba AYL ama AXF. Zhongotng yenye namba CDD ishajichokea kabisa
 
Upo sahihi mkuu
Hizo basi za mchina kwenye milima zinapanda vizuri habari zao za kusinzia ni pale dereva anapokuwa amedelay kukanyaga mafuta.

Wanaosema mchina kwenye milima hana kitu basi gari za Dar- Songea ataje ipi amekuta imechemsha kupanda milima.
 
Zile Dar Express ni Body za Dar Coach au zimetengenezwa Nairobi. Kwa Ulaya wameshaachana na Technology ya Engine Mbele.

Kilimanjaro Express anatumia Marcopolo ambazo zilikuwa za Scandinavia miaka hiyo kazitunza hadi leo.

Body za Kenya ni nzuri sana unaweza fikiri zimetoka ulaya, mfano angalia Tahmid safi sana na zinakimbia kweli kweli.
Dar express anazo Gemilang zimenakuja hivyo hivyo, achana na hayo ma Marcopolo etc.. lakin pia issue ya engine ikae wapi ni ww unaamua , unaenda na specification zako wanakuundia
 
Nilivosema hujui kitu ulibisha, hizo gari zote ulizotaja zinatengenezwa hapo Mombasa na kampun ya AVA.

Jitahid kukaa mbali na story za bodaboda mkuu
Mombasa ya gongo la mboto
 
Usiongee vitu ambavyo huvijui mkuu Kilimanjaro hajawahi shea na scandnavia gari na polo za scandi nyingi zipo kwa arusha express na zilikuwa kwa zuberi kunq moja liko kwq champion kuna lilikokuwa la al saesy PSG NA Mengine mengi tuu inshot Kilimanjaro hajawahi sahare na scand
Zile Dar Express ni Body za Dar Coach au zimetengenezwa Nairobi. Kwa Ulaya wameshaachana na Technology ya Engine Mbele.

Kilimanjaro Express anatumia Marcopolo ambazo zilikuwa za Scandinavia miaka hiyo kazitunza hadi leo.

Body za Kenya ni nzuri sana unaweza fikiri zimetoka ulaya, mfano angalia Tahmid safi sana na zinakimbia kweli kweli.
 
Nita amini abood akirudi kwenye scania
Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.

Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia basi hizi kwasababu ya ulaji mdogo wa mafuta, bodi nzuri, interior design, na unafuu wa vipuri...
 
Usiongee vitu ambavyo huvijui mkuu Kilimanjaro hajawahi shea na scandnavia gari na polo za scandi nyingi zipo kwa arusha express na zilikuwa kwa zuberi kunq moja liko kwq champion kuna lilikokuwa la al saesy PSG NA Mengine mengi tuu inshot Kilimanjaro hajawahi sahare na scand
Tuwekeani dau kama Kilimanjaro Express hazikuwa Scandinavia??
 
Kweli kabisa Njia ya dar Mbeya Saul ni nyoko New force akasome ,, mm naish mafinga hapa,, hapa ni njian katika njia ya dar to Mbeya,, sasa watu huwa wanabetia gari ya kwanza kutimba mafinga stand ikitokea dar,, wanabet kwa kuweka dau kama kamali hivi,, Sasa Sauli mara nyingi anaanza,, inaweza ukaona majinja nyuma na New force,, au ally Said,, so wanaobetia Sauli mara nyingi wanawapiga ela wenzao
JamiiForums1456423907.jpg
 
Back
Top Bottom