Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Hizo basi za mchina kwenye milima zinapanda vizuri habari zao za kusinzia ni pale dereva anapokuwa amedelay kukanyaga mafuta.

Wanaosema mchina kwenye milima hana kitu basi gari za Dar- Songea ataje ipi amekuta imechemsha kupanda milima.
Kuzinzia zinasinzia na nguvu hazina uwezo kama scania ae huoni Zhongtong L360 inaliwa na scania f310
 
Unataka kusema nini? Mabasi yote yamefungwa speed limit, barabarani Kuna touch, huo mwendo Ni upi? Issue kubwa hapo Ni unafuu wa manunuzi na uendeshaji wa mabasi ya kichina basi
Sio hivyo tunaweza wote tukaenda speed sawa lakin mm nikawah kufika.

Kutokana mn namaintain speed na sishuki gia hata kama nimekutana na vituta vya hapa na pale pia wwe ukawa muoga muoga overtake lakin mm nikawa naovertake popote Nakua mwepesi,, wajasema magar yaende speed sawa ila wamesema magar yasizid 80km/h.. ukisema hivyo ndugu yangu mbona mabus yote yangekuwa yanaongozana msululu na yanafika mda sawa
 
usingekua unazikuta sub-scania, delivery yake ingekua moja kwa moja kwenye yard ya kampuni husika
Tatizo hujui ila hutaki kujua, wacha nikujuze scania mpya yoyote ukitaka kuagiza kupitia saab scania wanakufanyia wao agizo ina maana mwenye jukumu la kukuagizia ni hao hao scania wenyewse so laima ukaichukulie vinginguti
 
Asante Sana, ngoja tuwasikie na wengine
Wamesema magar yasizid speed 80km/h sio yaende speed sawa,, aafu kuna changamoto barabaran kama overtaking,, vigema inategemeana na wepes wa dereva. .. mwambie ajaribu kuincrease thinking capacity yake
 
Sina uhakika, ila nauhakika na route ya Dar Mbeya
Kweli c ni Mbeya inawezekana kukawa na Sauli ya Mbeya mjjn, Tunduma na Kyela had sumbawanga,, new force route zote hizo ana gar,,, wenda kukawa na Sauli ya Dar to Kyela,,, jaribu kuuliza
 
Kuzinzia zinasinzia na nguvu hazina uwezo kama scania ae huoni Zhongtong L360 inaliwa na scania f310
Zhongtong kuliwa na Scania ni suala la dereva kupangilia gear mlimani.

Tusidharau Zhongtong kupitiliza Huyo Scania akidharau hata sekunde kadhaa ataishia kusoma namba.

Scania atajivunia kupanda milima kwa low RPM, Zhongtong RPM itakuwa juu kidogo.
 
Tatizo hujui ila hutaki kujua, wacha nikujuze scania mpya yoyote ukitaka kuagiza kupitia saab scania wanakufanyia wao agizo ina maana mwenye jukumu la kukuagizia ni hao hao scania wenyewse so laima ukaichukulie vinginguti
Mbona Kilimanjaro hazipiti pale? au Dar express (Tofauti na hizo Gemilang) kwann hizo model nyingine hazipiti pale?? reason?

na nikujuze tu sub scania Tanzania endapo kama ukitaka kuunda bus kwa hapa hapa hua wanaunda kutumia Dar Coach hawaendi Kenya, hayo ma Gemilang yanashuka hivyo hivyo
 
Kweli c ni Mbeya inawezekana kukawa na Sauli ya Mbeya mjjn, Tunduma na Kyela had sumbawanga,, new force route zote hizo ana gar,,, wenda kukawa na Sauli ya Dar to Kyela,,, jaribu kuuliza
hazipo, Saul ana bus 4 tu, scania 3 benzi 1 (Route ni Mbeya dsm kwasasa) muda wowote ataanza route ya tunduma
 
Watu wengi humu wanajadili vitu bila kufuatilia, huyo sauli kitu kinachosababisha azipite bus za mchina ni hizo airbags (boosters).

Siku zote wakitoka dar had iringa sauli huwa anakimbizwa, kipande pekee anachowakalisha wachina ni kipande cha igawa had mbeya mjini ambapo barabara imejaa mashimo, yeye anafukia tu.

Ila kiuwezo kuanzia miliman had tambarare hawez kufikia nguvu ya cummins, ule ni umeme wazee. Gari za kichina tuziponde kwny durability ila sio speed na comfortability.
Acha kuongea kwa kusikia stori za mtaani! Jaribu uendeshe kwanza hizo gari, endesha bus scania walau wiki 1 kisha njoo kwa mchina iwe yutong, zhongtong, dragon au higer mlimani hakuna wa kumsogelea msweden! Hilo nakupinga nikiwa nimeendesha hizo zote tena kwa kipindi kirefu sana...

Bus la mchina tangu likiwa na 0km linaweza kutembea miezi 8 bila hitilafu lakini baada ya hapo mara mashine imezingua, au turbo sijui imekufa, gearbox sijui gear hazipatikani..

Tena hapo ni bahati sana uende kipindi hicho bila kusumbua! Maana unaweza kutembea wiki tu na ikaua mashine! Ndo maana hakuna mkataba kama scania unaponunua bus jipya kwao unapewa miaka mitatu likiwa chini yao. Usilete habari za vijiweni kisa uliiona gari inakimbia
 
Sauli ni lazima atokee nyuma sababu anaanzia ubungo sheria ya ubungo kutoka ni saa 12 kamili na siku nyingine zinaanza gari za kanda ya ziwa na kaskazini sauli anapotoka lazima anakuwa nyuma ukiona mtu anatoka nyuma alafu anamfikia wa mbele jua jamaa yuko vizuri deer anatokea shekilango saa 11:30 anatoka kabla ya sauli. Pili acha kufananisha scania na mchina kwenye mlima.
Huyo unamjibu ni shabiki tu hana uelewa wa haya mabasi au kaamua kujitoa ufahamu! Huwezi kulinganisha scania na mchina hata siku 1 ndo maana abood ana bus zina usajili wa Ax lakini anapiga rout za Mwanza. Mwambie atafute bus lolote la kichina lenye namba C ambalo linatembea kilomita zaidi ya 700 kwa siku achilia mbali A ya abood kwa scania..
 
Acha kuongea kwa kusikia stori za mtaani! Jaribu uendeshe kwanza hizo gari, endesha bus scania walau wiki 1 kisha njoo kwa mchina iwe yutong, zhongtong, dragon au higer mlimani hakuna wa kumsogelea msweden! Hilo nakupinga nikiwa nimeendesha hizo zote tena kwa kipindi kirefu sana... Bus la mchina tangu likiwa na 0km linaweza kutembea miezi 8 bila hitilafu lakini baada ya hapo mara mashine imezingua, au turbo sijui imekufa, gearbox sijui gear hazipatikani.. Tena hapo ni bahati sana uende kipindi hicho bila kusumbua! Maana unaweza kutembea wiki tu na ikaua mashine! Ndo maana hakuna mkataba kama scania unaponunua bus jipya kwao unapewa miaka mitatu likiwa chini yao. Usilete habari za vijiweni kisa uliiona gari inakimbia
Shida ushabiki mkuu au labda kuna watu wanawafanyie basi za kichina promo
 
Mzee gari zote zinawastan wa lita kati ya 23 na 26 kwa KM 100 iwe mchina iwe scania za sauli, zina range hapo
Nadhani umesema scania za sauli ambazo ni 95.. Ila ukisema scania yoyote hata 114 utakuwa umedanganya parefu mno... Maana nilikuwa natembea na bus klm 700 inakula lita 280 hadi 300 japo mashine mlimani unakuwa kama upo na gari ndogo tu
 
Kweli c ni Mbeya inawezekana kukawa na Sauli ya Mbeya mjjn, Tunduma na Kyela had sumbawanga,, new force route zote hizo ana gar,,, wenda kukawa na Sauli ya Dar to Kyela,,, jaribu kuuliza
Confirmed, ngoma zinaishia Mbeya mjini
 
Tatito huwezi nunua Scania ambayo iko Bus tayari, ambazo ziko tayari ni Engine nyuma. Engine nyuma kwa kwetu si nzuri, kumbuka Sumry alivyoteseka.

Njia ya kupata bus la Scania ni kununua Chasis halafu unachonga body, kama Kisbo, City boy n.k

Mchina bus zake zipo tayari lakini engine, diff na gearbox ni nzito tofauti na Scania.
Ili kuifanya Yutong kuwa nyepesi Princes Muro alikuwa ananunua Yutong Mpya halafu anavua Engine, Diff na Gearbox anafunga za Scania. Huo moto si wa mchezo.
Mbona andare za abood ni scania na zilikuja zikiwa bus kabisa! Na pia gemilang za rungwe au sauli ni bus kabisa na injini ziko mbele au una maana ipi
 
Zile Dar Express ni Body za Dar Coach au zimetengenezwa Nairobi. Kwa Ulaya wameshaachana na Technology ya Engine Mbele.

Kilimanjaro Express anatumia Marcopolo ambazo zilikuwa za Scandinavia miaka hiyo kazitunza hadi leo.

Body za Kenya ni nzuri sana unaweza fikiri zimetoka ulaya, mfano angalia Tahmid safi sana na zinakimbia kweli kweli.
Mmhh we mtu kudanganya hadharani hivi huoni aibu?? Umeonyeshwa na picha hizo body zikishushwa hapo na bado unasema ni body za scandinavia??
 
Back
Top Bottom