Albert V Ngwale
Member
- Feb 11, 2019
- 48
- 76
Mambo vipi wakuu?
Nakumbuka kuna kipindi fulani miaka ya zamani kidogo serikali ilizuia buses zilizoungwa chassis zisioperate maana sio salama na ni kweli sio salama kabisa, ila sikuhizi kuna mtindo wa kuunga chassis na kuongeza tag axle kwenye bus kibao tu lakin kama imepotezewa vile, natumaini wote mmeona lile basi la shy town lilipota ajali leo jinsi lilivyovunjika katikat baada ya kuvaa ile cheche
Hivi ni kwa nn serikali yetu inaanzisha vitu na kuvipotezea mwisbo wake vinaleta madhara kwa sisi raia