Mabasi matatu yaliyojaa mabomu yalipuka kwa wakati mmoja Tel Aviv, yalikuwa matupu na yamelipuka kabla ya wakati



Kama Israel ni wajinga, basi wewe utakuwa mwendawazimu kabisa.

Wahusika wamejigamba kabla hata ya kulipuka, na kuweka kwenye media mbalimbali wakisema kuwa eti Israel itashuhudia maafa makubwa leo, wewe wa mabonde kuinama unaropoka ya kwako!! Maajabu makubwa!!
 
Aisee wabongo banaaa!!! Kikundi ambacho wamepanga hayo mauji wamekubali wenyewe kuhusika na tukio ila wewe upo zako bonyokwa unapinga
Jamaa hawa wako kazini kuwasafisha magaidi wabakaji ili wasionekane kama wamefanya Uhalifu huo!!! Kusema ukweli unajitahidi sana kujitoa ufaham kichwani mwao.
 
soma vizuri comment yangu kisha jifunze kujibu kw hekima
 
Kuwatetea hao magaidi wa kipalestina ni sawa na kumtetea shetani kwamba waga anasingiziwa maovu na utakuta watetezi wenyewe humu ni magaidi walewale. Bure kabisa.
 
Hisia zangu zinanituma hiyo issue ni planned na Israel yenyewe ili wawachafue waarabu. Waarabu sio wajinga kiasi hicho wana ujuzi mkubwa na mabomu.
Uko sawa wanaunda kichaka kipya na kama ni kweli basi sifa wanazopewaga ni za kijinga.
 
Yaani unavyomtolea macho jamaa utadhani wewe ndo muisrael sasa unamrudishia mitusi yake.
 
Middle East Hamna nchi yenye shobo na Israel ila Israel inakosa usingizi kwa ardhi za watu wengine
Ardhi ya nani
 
Waisrael na wapalestina wanaishi pamoja. Aslimia 20 ya raia wa Israel ni wapalestina kwa hiyo siyo rahisi kuwagundua magaidi
 

View: https://youtu.be/bYhIztOyrtA?si=eRT6jJRxljzfy0c4
 
Ardhi ya Palestine
1. Nitajie Rais wa kwanza wa nchi hiyo.
2. Nchi hiyo ilitawaliwa na mkoloni lini
3. Ilikuwa Inapakana na nchi gani?
4. Pesa yao ilikuwa inaitwaje Dolar,Dinar au Shilling?
5. Wakati Ina huku liwa na Israel alikuwepo Rais/Mfalme/Malikia nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…