Mabasi matatu yaliyojaa mabomu yalipuka kwa wakati mmoja Tel Aviv, yalikuwa matupu na yamelipuka kabla ya wakati

Sio rahis kuamin kuwa magaidi wamepenya mpaka mji mkuu wa israeli wakategesha mabas matatu yenye mabom bila kugundulika kwa nchi yenye ujasusi kama israeli.
Na kama ni mbinu za israel kuivamia palestina tena basi wametumia njia ya kijinga kabisa ambayo dunia haiwezi kuiamini

Kama Israel ni wajinga, basi wewe utakuwa mwendawazimu kabisa.

Wahusika wamejigamba kabla hata ya kulipuka, na kuweka kwenye media mbalimbali wakisema kuwa eti Israel itashuhudia maafa makubwa leo, wewe wa mabonde kuinama unaropoka ya kwako!! Maajabu makubwa!!
 
Aisee wabongo banaaa!!! Kikundi ambacho wamepanga hayo mauji wamekubali wenyewe kuhusika na tukio ila wewe upo zako bonyokwa unapinga
Jamaa hawa wako kazini kuwasafisha magaidi wabakaji ili wasionekane kama wamefanya Uhalifu huo!!! Kusema ukweli unajitahidi sana kujitoa ufaham kichwani mwao.
 
Kama Israel ni wajinga, basi wewe utakuwa mwendawazimu kabisa.

Wahusika wamejigamba kabla hata ya kulipuka, na kuweka kwenye media mbalimbali wakisema kuwa eti Israel itashuhudia maafa makubwa leo, wewe wa mabonde kuinama unaropoka ya kwako!! Maajabu makubwa!!
soma vizuri comment yangu kisha jifunze kujibu kw hekima
 
Kuwatetea hao magaidi wa kipalestina ni sawa na kumtetea shetani kwamba waga anasingiziwa maovu na utakuta watetezi wenyewe humu ni magaidi walewale. Bure kabisa.
 
Hisia zangu zinanituma hiyo issue ni planned na Israel yenyewe ili wawachafue waarabu. Waarabu sio wajinga kiasi hicho wana ujuzi mkubwa na mabomu.
Uko sawa wanaunda kichaka kipya na kama ni kweli basi sifa wanazopewaga ni za kijinga.
 
Kama Israel ni wajinga, basi wewe utakuwa mwendawazimu kabisa.

Wahusika wamejigamba kabla hata ya kulipuka, na kuweka kwenye media mbalimbali wakisema kuwa eti Israel itashuhudia maafa makubwa leo, wewe wa mabonde kuinama unaropoka ya kwako!! Maajabu makubwa!!
Yaani unavyomtolea macho jamaa utadhani wewe ndo muisrael sasa unamrudishia mitusi yake.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mabasi matatu yalilipuka katika mji wa Bat Yam, kusini mwa Tel Aviv, katika tukio linaloshukiwa kuwa la kigaidi.

Polisi wa Israeli waliofika katika tukio hilo wameeleza kuwa kuna vifaa vilivyokuwa kwenye mabasi mawili havikulipuka.

Waziri wa Usafiri, Miri Regev, aliamuru kusitishwa kwa huduma zote za usafiri za mabasi, treni ya kawaida na treni zinazotumia umeme ili kuruhusu uchunguzi kuhusu uwepo wa vifaa vya milipuko.

Habari kutoka vyombo vya habari vya Israeli zilisema kuwa maafisa wa polisi walikua wakiendelea na shughuli za kutafuta mabomu na washukiwa katika eneo la tukio.

Picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha moja ya mabasi likiteketea moto katika moja ya vitro vea mabasi, huku moshi mkubwa ukifuka.

Hata hivyo, Regev amesema kuwa hakuna majeruhi kufuatia tukio. Ikiwataka raia kuwa waangalifu na kutambua vitu vyote vinavyoshukiwa, akiongeza kuwa ni mapema kujua kilichosababisha mlipuko huo.

Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa moja ya vifaa vya kulipuka ukilikua na uzito wa kilo 5, na kubeba ujumbe ulioandikwa “Kulipiza kisasi kutoka Tulkarem”, likihusishwa na operesheni za hivi karibuni za kijeshi za Israeli dhidi ya magaidi katika Ukingo wa Magharibi.

Kama hatua ya kukabiliana na matukio haya, Waziri wa Ulinzi, Israel Katz, alitangaza kwamba ameagiza jeshi kuongeza juhudi za shughuli za kijeshi katika kambi za wakimbizi za Ukingo wa Magharibi.

Waziri wa Usafiri, Miri Regev, pia alikatiza ziara yake nchini Morocco na alielekea kurudi Israeli ili kushughulikia hali hii ya dharura.

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Mungu ibariki Israel

PM orders major operation against West Bank terror hubs

3 buses explode in Bat Yam, Holon in suspected strategically planned terror attack​

Buses empty, nobody hurt; bombs may have been intended for Friday morning but had timers incorrectly set; 2 more devices found on buses nearby; police suspect West Bank terror cell​

By ToI Staff and Emanuel Fabian
Follow
20 Feb 2025, 11:25 pmUpdated: Today, 3:25 am
54545.gif

Three empty buses exploded in quick succession in parking lots in the Tel Aviv suburbs of Bat Yam and Holon on Thursday night in what police said was a suspected terror attack.
There were no injuries reported in the incidents. Police said they neutralized two other unexploded devices on buses nearby. According to Hebrew media reports, those devices were discovered in Holon.
Each of the devices contained 5 kilograms of explosives, Hebrew media reports said.

Police said they were combing the scenes and searching for suspects, while bomb sappers were hunting for any other suspicious items in the vicinity.
Prime Minister Benjamin Netanyahu’s office said the premier was receiving constant updates on the situation and held a security assessment late Thursday night, after which it announced that he instructed the IDF to embark on a massive operation in the West Bank against terrorist hubs.
Get The Times of Israel's Daily Editionby email and never miss our top stories
Newsletter email addressGet it
By signing up, you agree to the terms

It said he also instructed the police and Shin Bet to “increase preventative activities” in Israeli cities to prevent further attacks.
Transportation Minister Miri Regev earlier issued an order to the head of the Transportation Authority to halt service and conduct a search of all buses, trains and light rails. Regev was reported to be cutting short a visit to Morocco amid the incident.

Speaking to reporters in Bat Yam, Haim Sargarof, the Tel Aviv District police chief, said that the devices had timers but they were improvised explosives, and that the attack “looks like something [that originated] in the West Bank.”
Advertisement

Sargarof said there was “something written,” on the devices, without elaborating, apparently referencing media reports of a written “revenge threat” from the West Bank city of Tulkarem on one or more of the devices. He said he did not know how many suspects were involved in planning the attack. Police sources told Hebrew media later Thursday that they suspected the attack involved a West Bank terror cell.

“The revenge of the martyrs will not be forgotten so long as the occupier is present on our land… This is a jihad of either victory or martyrdom,” said a statement on a Telegram channel claiming to represent Hamas’s so-called Tulkarem Battalion, which did not directly claim responsibility for the blasts.

A burnt bus after it went up in flames due to an explosion at a parking lot in Bat Yam, February 20, 2025. (Fire and Rescue Service)

According to a Channel 12 news report, the devices were slated to explode on Friday morning, when the buses were in use, but were set off early. Giora Eiland, a former IDF operations chief, speculated that the timers were incorrectly set.
The network also reported that one of the undetonated devices was found due to an alert from a passenger, who notified the driver of a suspicious bag, and that police believe several suspects were involved in planting the bombs.

“We may be lucky if indeed the terrorists set these timers to the wrong hour,” police spokesman Aryeh Doron said. “But it’s too early to determine.”
In a statement, the Bat Yam Municipality said that “miraculously, the buses arrived at the parking lots a moment before the explosion,” and were already empty of their passengers.

Sargarof dodged questions about how the police did not manage to thwart the planting of so many explosive devices, appearing to blame other security agencies by saying that the Israel Defense Forces is responsible for the West Bank and the Shin Bet is responsible for preventing terrorism.
Bus drivers nationwide were reportedly told to search their vehicles before setting off in light of the attack. Security was bolstered at Ben Gurion Airport, including with stringent checks of all buses entering and leaving the airport area. Security was also bolstered for Jerusalem’s light rail, Channel 12 news said.

“We will hunt down the terrorists to the bitter end and destroy the terror infrastructure in the camps used as front line posts of the Iranian evil axis,” Katz added. “Residents who give shelter to terror will pay a heavy price.”
The IDF has been carrying out a major offensive in the northern West Bank, dubbed Operation Iron Wall, since January 21.
Advertisement

Following Katz’s statement, the military said it was investigating the bus bombings jointly with the Shin Bet security agency and Israel Police, adding that after a fresh assessment, the IDF’s ongoing counterterrorism operation in the West Bank would be focused on specific areas per the findings of the probe.

Additionally, the IDF said it has blocked several checkpoints leading into the West Bank in specific areas, and will ramp up activities in the so-called seam zone, the area between the Green Line and Israel’s West Bank barrier.

It also announced that three more battalions will be deployed as reinforcements to the West Bank, after holding a situational assessment.

The military said that it was constantly assessing and “prepared to expand the offensive operations,” while adding “the counterterrorism mission in northern Samaria is continuing all the time,” using the biblical name for the northern West Bank.
Charlie Summers contributed to this report.

  • Shiri, Ariel and Kfir Bibas are abducted from Kibbutz Nir Oz on October 7, 2023. (Video screenshot)
  • From top left, clockwise: Shiri Bibas, Ariel Bibas, Oded Lifshitz and Kfir Bibas (Courtesy)
  • The IDF holds a ceremony in the Gaza Strip honoring the four slain Israeli hostages whose bodies are apparently in coffins returned by Hamas, February 20, 2025. The coffins are seen draped in Israeli flags. (IDF)
  • Shiri Bibas (center) and her sons Ariel, 4, (left) and baby Kfir, who were abducted from Kibbutz Nir Oz by Hamas terrorists on October 7, 2023. (Courtesy)
    4
Middle East Hamna nchi yenye shobo na Israel ila Israel inakosa usingizi kwa ardhi za watu wengine
Ardhi ya nani
 
Sio rahis kuamin kuwa magaidi wamepenya mpaka mji mkuu wa israeli wakategesha mabas matatu yenye mabom bila kugundulika kwa nchi yenye ujasusi kama israeli.
Na kama ni mbinu za israel kuivamia palestina tena basi wametumia njia ya kijinga kabisa ambayo dunia haiwezi kuiamini
Waisrael na wapalestina wanaishi pamoja. Aslimia 20 ya raia wa Israel ni wapalestina kwa hiyo siyo rahisi kuwagundua magaidi
 
View: https://youtu.be/bYhIztOyrtA?si=eRT6jJRxljzfy0c4
 
Ardhi ya Palestine
1. Nitajie Rais wa kwanza wa nchi hiyo.
2. Nchi hiyo ilitawaliwa na mkoloni lini
3. Ilikuwa Inapakana na nchi gani?
4. Pesa yao ilikuwa inaitwaje Dolar,Dinar au Shilling?
5. Wakati Ina huku liwa na Israel alikuwepo Rais/Mfalme/Malikia nani?
 
Back
Top Bottom