Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimewaza kama wewe kabisa. Fikra ya kwanza baada ya kusoma Marehemu alitolewa kwenye basi ni dashcam. Maana inasemekana gari ya polisi iliyokuwa na majangili ili block bus kwa mbele.Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.
Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.
Subira yavuta heri.
Utaambiwa siku hiyo zilikuwa hazifanyi kazi.Mabasi ya Kisasa mengi yana CCVT lakini zisije kupotea kama kwenye tukio la Lissu.
Lete ushahidi ili tuomamini hayo.Lisu na Mbowe kwa nini mlishangilia kifo cha Maguful
Ndio tutajua kama tunayoyajua ni kweli au laaNimeweza kama wewe kabisa. Fikra ya kwanza baada ya kusoma Marehemu alitolewa kwenye basi ni dashcam.
Ila baada ya uzi huu nina hakika majangili ya utawala yashaenda kuchukua footage.
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.
Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.
Subira yavuta heri.
Namba EE... Haikosi asee..Inategemea lilikuwa ni gari la daraja gani.