Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
 
Sasa wewe ndugu unaongea kama mgeni.
Yaani ni nani hii nchi awe na uwezo wa kuchomoa sms zaidi ya moja hadharani na kublock njia kisha kumtoa mtu ndani ya basi la umma na kuondoka naye kama si serikali?
Ndani ya gari kulikuwa na traffic police man . Hakufanya jambo lolote na maisha yanaendelea
 
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
Nimewaza kama wewe kabisa. Fikra ya kwanza baada ya kusoma Marehemu alitolewa kwenye basi ni dashcam. Maana inasemekana gari ya polisi iliyokuwa na majangili ili block bus kwa mbele.

Ila baada ya uzi huu nina hakika majangili ya utawala yashaenda kuchukua footage.
 
Lisu na Mbowe kwa nini mlishangilia kifo cha Maguful
Lete ushahidi ili tuomamini hayo.

Ila wengi walifurahia kwasababu alikuwa anabariki madhila yanayowafika wananchi.

Ni wapi magufuli alikemea utekaji,uuaji,Watu kufungwa bila ya kosa.
Na huyo aliyepo hana tofauti na jiwe na huyo atakufa ndani ya uongozi kama hatabalika.
 
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
Six5b0TZWlBbGx71.jpg
 
Back
Top Bottom