Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.
Subira yavuta heri.