spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Una mitego weweMbona hakuna abiria aliyekuwa ndani ya hilo bus aliyesema chochote mpaka sasa?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mitego weweMbona hakuna abiria aliyekuwa ndani ya hilo bus aliyesema chochote mpaka sasa?!
Acha upumbavu wewe, ungezikwa naye, kwani ulizuiwa?Lisu na Mbowe kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli?
Hata dereva hata kampuni haijasema chochote.Mbona hakuna abiria aliyekuwa ndani ya hilo bus aliyesema chochote mpaka sasa?!
Yaaniiii wameshazitoaa trust meWakifanya hivyo ndiyo tunapigia mstari kwamba wao ndiyo wanahusika ,hadi sasa tunajua ni "Wasiojulikana" ila wakiondoa kamera tuna conclude tu......Boni Yai /MMM/Ndugu wa meddy waende ofisi za hilo Buis waombe CCTV Footage haraka iwezekanavyo.
Si ajabu unaongea hayo ukiwa hauna uzoefu wa kuwekwa chini ya ulinzi hata na panya road tu.sema basi zima hakuna raia aliyerekodi tunakwama sana wananchi kwa kuzingatia malalamiko ya matukio kama haya
Walisema anateka watuLisu na Mbowe kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli?
Kamera ziliondolewa,baada ya Tundu Lisu kupigwa risasi.Alitekwa Mo Dewji camera hazikusaidia! Alipigwa risasi Tundu Lissu camera hazikusaidia.. Tuzidishe dua ili wasipate ufahamu,waje wajutie baadae.
Mabasi yana orodha ya abiria waliosafiri kwa three na siku husika(Manifest).sema basi zima hakuna raia aliyerekodi tunakwama sana wananchi kwa kuzingatia malalamiko ya matukio kama haya
Safi mkuuMabasi yana orodha ya abiria waliosafiri kwa three na siku husika(Manifest).
Tiketi hutolewa kwa njia ya mtandao na namba za simu zipo (katika wote waliokuwepo kwenye basi wapo wenye uwezo wa kutoa maelezo sahihi).
Hii sitegemei wachunguzi wakose pakuanzia
Sawa mkuu, acha watu waendelee kutekwa. Kama wananchi wenyewe wa umoja wao hawawezi shirikiana basi zima kuanza kurekodi. Tanzania hii itaokolewa na miujizaSi ajabu unaongea hayo ukiwa hauna uzoefu wa kuwekwa chini ya ulinzi hata na panya road tu.
Lile ni tukio halisi kijana sio movie, watu wana silaha za kivita mkononi hata ungekua wewe ungepata wapi ujasiri wa kutoa iyo simu kurekodi
Miaka zaidi ya miwili sasa imepita, vp yale matukio yameisha?Kwa sababu Magufuli alikuwa dhalim.
Aliyempokea kijiti anayaendeleza kama ilivyo kauli mbiu ya kazi iendelee. CCM ni genge la kigaidi kama ilivyo Bokoharam tuMiaka zaidi ya miwili sasa imepita, vp yale matukio yameisha?
Kabla ya JPM hayo hayakuwepo?Aliyempokea kijiti anayaendeleza kama ilivyo kauli mbiu ya kazi iendelee. CCM ni genge la kigaidi kama ilivyo Bokoharam tu
Nafikiri jibu unalo mwenyeweKabla ya JPM hayo hayakuwepo?
Kwahy tatizo n mtu au ccm?
Safi, na ndo mana nasema JPM alisingiziwa mabaya mengi mana hayo mambo yalikuwepo hata kabla yake ila baada ya kuongeza kuwabana Chadema ndio mana kelele zilikuwa nyingi tofauti na watangulizi wake.Nafikiri jibu unalo mwenyewe
View: https://x.com/Lukala_Ngesse/status/1832851182370586807
Cheki hii clip. Namna hii ndo inabidi tuwe sasa.
(Na hii yasemekana ni kitambo)