Mabasi ya abiria mijini kuitwa Daladala kunatudhalilisha Sisi wamiliki

Mabasi ya abiria mijini kuitwa Daladala kunatudhalilisha Sisi wamiliki

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,898
Reaction score
40,547
Jina la Daladala kwa mabasi ya safari za mjini (Town trip) limeanza wakati nauli ikiwa sh.5 tu.

Leo tunaongelea nauli ya tshs.1000 kwa route ndefu hivyo tunaomba Mh Rais atusaidie na Sisi magari yetu yaitwe Buku Buku badala ya Daladala kama alivyofanya Kwa waheshimiwa Mamalishe.

20260421_205836.jpg
 
Dala ni matamshi ya kiswahili ya neno dollar 💰, labda kipindi hiyo dollar 1 ilikuwa sawa na sh. 5 ya bongo.
Saivi Dala 1 ni sh 2600 ya bongo, sijui umenisoma
 
Back
Top Bottom