Jina la Daladala kwa mabasi ya safari za mjini (Town trip) limeanza wakati nauli ikiwa sh.5 tu.
Leo tunaongelea nauli ya tshs.1000 kwa route ndefu hivyo tunaomba Mh Rais atusaidie na Sisi magari yetu yaitwe Buku Buku badala ya Daladala kama alivyofanya Kwa waheshimiwa Mamalishe.
Dala ni matamshi ya kiswahili ya neno dollar 💰, labda kipindi hiyo dollar 1 ilikuwa sawa na sh. 5 ya bongo.
Saivi Dala 1 ni sh 2600 ya bongo, sijui umenisoma