Mabasi ya abiria ni machafu, Nacharo T 706 DVF wajirekebishe

Mabasi ya abiria ni machafu, Nacharo T 706 DVF wajirekebishe

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Nawasilisha hili kwa wasafiri wenzangu wa mara kwa mara na kwa wenye nafasi ya kufikisha taarifa hii kwa wahusika. Kuna kampuni ya usafirishaji abiria inaitwa Nacharo Royal Bus, ambao hufanya safari za Tanga Dar nk. Kuna hili bus lao moja usajili wake ni T 706 DVF ni chafu linanuka uvundo na lina mende kibao, taarifa zisambae ili wajirekebishe. Asante.

photo_2024-01-26_10-48-13.jpg


 
Nauli bei kiasi gani dar to tanga

Ova
 
Back
Top Bottom