Wana JF,
Napennda kufukisha Duku duku lang ambalo linanipelekea kuwa na wasiwasi mkubwa sana kuwa kampuni ya mambasi arimaarufu hapa nchini DAR EXPRESS kuwa mbioni kufirisika.
Sababu zifutazo
Uongozi mbovu
Huduma mbovu
Vitendea kazi vibovu.
Nitazama kwa tukio kubwa siku chahce nikadhani ni kuwa ndio utaratibu bali nimekuja gundua ni kufirisika ndiko kumeanza
......... na seliani Hospital turekebishiwa ticketi zetu na utaratibu ulikuwa ni wakiholela kwani nili notes mtu (abiria mmoja) kapewa bus tofauti na lakwangu na tulipaswa kuwa nae kwa bus moja yeye akaondoka na la sa moja mimi nikaondoka na la saa moja na nusu nilijiuliza kama ndio utaratibu huo umeanza basi Dar express na Management yake yote ni mbovu hwajui jinsi ya ku run business tena au wanafirisika.
........... basi halikuja tukapewa basi jingine na kufika chalinze kumbe pale kulikuwa na wasafiri wengine wanaelekea Arusha tukawaacha pale ila kwa mtu nae mjua akanijuza walipakizwa bus la mwisho la Dar expres kwa msaada wa Police pale Chalinze.
...... ni muda muafaka kujipanga na kutambua kuwa usafiri wao unachoka na unapoteza wateja na kama muna mabus machache kwanini msiyatumia hayo machache na kuboresha huduma kuliko kuwa waongo na matapeli wa kuwabadilisha wasafiri mabus bila kuwajuza ????