Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Upo sahihi kabisa,Nakumbuka kama ndiyo maandishi yaliyoandikwa kwenye kila bus la Dar Express!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi kabisa,Nakumbuka kama ndiyo maandishi yaliyoandikwa kwenye kila bus la Dar Express!
Mkuu, Mabasi yaliyofungiwa ni 14 tu. Dar Express wana mabasi zaidi ya 20. Watu wengine wameshkilia mtazamo wa hujuma dhidi ya Dar express bila kufanya hata kautafiti kadogo tu. Sio siri, kama wewe ni mtumiaji wa mara kwa mara wa mabasi ya Dar Express, utakuwa umegundua kuwa ubora wa huduma ya baadhi ya mabasi hayo imeshuka sana katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Mimi ni mteja mzuri tu wa kampuni hii. Huwa ninapanda Dar Express walau mara mbili kila mwezi( Dar- Arusha, Arusha -Dar). Katika safari zangu mbili zilizopita, safari yetu iliishia njiani - kisa ubovu wa gari. Tumetoka Dar, kufika chalinze gari ikaanza kuvuja oil sana. Jamaa wakapambana nayo ikatulia. Tulipofika mombo( Mkumbara?), bodi ikakatika na kulalia tairi za nyuma. Hapo ikawa mwisho wa safari yetu. Sikukata tamaa, nikaunga unga safari hadi Arusha. Niliopomaliza shughuli zangu nikaamua kurudi Dar kwa kutumia tena . Njiani pancha mara tatu. Tukafika mahali, gari ikienda spidi zaidi ya 80, inayumba sana. haya mambo hayakuwepo siku za nyuma! Isitoshe, kuna baadhi ya madereva wao ni wakorofi mno. mmoja alikuwa akienda kwa kasi sana. Abiria tukapiga kelele. Akapunguza mwendo, akawa anatembea spidi ya kilomota 40 kwa saa- kutoka Segera hadi chalinze!
Ushauri kwangu kwa mzee Mremi: Ajitahidi kudumisha viwango vya ubora alivyoanza navyo; Awalipe madereva wake vizuri na aweke mfumo mzuri wa kufuatilia maoni kutoka kwa wateja wake.

kwa bwana yesu kila goti litapigwa
kwa bwana yesu kila goti litapigwa
hii ni mimi mwana wa Umslopogas,nimeshabadili password labda wahack tena..nimeinukuu kwani imeandikwa kwenye kila basi la DE..Ulale unonosasa hii ni wewe au?maana umetupa mtihani kidogo....
Mweeee mimi hata sijaambulia sijui niko wapi najuta kuingia kwenye hii sridi maana sijui nimeingilia mlango hupi na nitatokea mlango gani nakuomba muanzishaji wa mada hutupe kwa mhutasali japo kiduchu!!Tujuze hizo hujuma kwa sababu wengine kama mimi nimeachwa nja panda
VITa vyetu si juu ya damu na nyama bali ju ya falme na mamlaka za pepo wa chafu wa serikali hii ya tanzania...hatimae tutashinda wachaga tusiwe na hofu kwa hili ""KWA BWANA YESU KILA GOTI LITAPIGWA"""NEEMA ZA MUNGU
haya mabasi nayo yaishakuwa ya hovyo na yamezeeka,nlikuwa mteja wao sana,walinitibua wiki 2 zilizopita,nimepanda basi lao la kwanza,ar-dsm saa 1145 lakini tukafika dar saa 1800,hata kilichonifanya niwahi sikufanikiwa,facken!nimehamia kilimanjaro,atleast
Mengi sana hayo,kuna kampuni zingine hazina hata mabasi sita!Haikufungiwa co yote bali mabasi 15 tu.