Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Kwani ni vita ya wachaga na akina nani ?VITa vyetu si juu ya damu na nyama bali ju ya falme na mamlaka za pepo wa chafu wa serikali hii ya tanzania...hatimae tutashinda wachaga tusiwe na hofu kwa hili ""KWA BWANA YESU KILA GOTI LITAPIGWA"""NEEMA ZA MUNGU
Mtamkuta YESU nae kapiga goti akiomba; Baba yangu ulie Mbinguni naomba kikombe hiki kiniepuke !VITa vyetu si juu ya damu na nyama bali ju ya falme na mamlaka za pepo wa chafu wa serikali hii ya tanzania...hatimae tutashinda wachaga msiwe na hofu kwa hili ""KWA BWANA YESU KILA GOTI LITAPIGWA"""
Tujuze hizo hujuma kwa sababu wengine kama mimi nimeachwa nja panda
Mwenyezi Mungu atatunusuru ! Maana mle mapambio mtindo mmoja, unakuta mtoto wa kike kang'ang'ania anaimba 'nimeonja utamu wa Yesu......utamu eeh.....utamu wa Yesu ! Halafu eti ni Mung.......daaah!Nilikuwa natumia sana magari ya dar express kwenda kaskazini kikazi..
Lakini niliacha kwasababu "Kwaya mtindo moja hadi Arusha" as if wote ni wanamaombi..lol
Dar express jirekebishe abiria hawana dini so punguza kwaya na nyimbo za kikristo kuwa neutral
Ukiendekeza udini kwenye biashara utaishia ku-fail ushauri wa bure..
Kwani ni vita ya wachaga na akina nani ?
Haikufungiwa co yote bali mabasi 15 tu.
Kwani ni vita ya wachaga na akina nani ?
Wana JF,
Napennda kufukisha Duku duku lang ambalo linanipelekea kuwa na wasiwasi mkubwa sana kuwa kampuni ya mambasi arimaarufu hapa nchini DAR EXPRESS kuwa mbioni kufirisika.
Sababu zifutazo
Uongozi mbovu
Huduma mbovu
Vitendea kazi vibovu.
Nitazama kwa tukio kubwa siku chahce nikadhani ni kuwa ndio utaratibu bali nimekuja gundua ni kufirisika ndiko kumeanza
......... na seliani Hospital turekebishiwa ticketi zetu na utaratibu ulikuwa ni wakiholela kwani nili notes mtu (abiria mmoja) kapewa bus tofauti na lakwangu na tulipaswa kuwa nae kwa bus moja yeye akaondoka na la sa moja mimi nikaondoka na la saa moja na nusu nilijiuliza kama ndio utaratibu huo umeanza basi Dar express na Management yake yote ni mbovu hwajui jinsi ya ku run business tena au wanafirisika.
........... basi halikuja tukapewa basi jingine na kufika chalinze kumbe pale kulikuwa na wasafiri wengine wanaelekea Arusha tukawaacha pale ila kwa mtu nae mjua akanijuza walipakizwa bus la mwisho la Dar expres kwa msaada wa Police pale Chalinze.
...... ni muda muafaka kujipanga na kutambua kuwa usafiri wao unachoka na unapoteza wateja na kama muna mabus machache kwanini msiyatumia hayo machache na kuboresha huduma kuliko kuwa waongo na matapeli wa kuwabadilisha wasafiri mabus bila kuwajuza ????
Asee wewe ni bingwa wa kuraramika.....kwani ulisafili mala ngapi?
Asee wewe ni bingwa wa kuraramika.....kwani ulisafili mala ngapi?