Toedsloth_
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 369
- 1,085
Mali ya Traaab na Traat Ziguse unase
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie wajinga hawa.Mnaomuonea bure tu. Mmiliki halali wa hizo buses gari anayotembelea ina plate namba inayoanzia na herufi 'W'
Inategemea na nguvu ya mmiliki,hapo picha inazidi kun'gaa,hatimaye Tutamjua kama ni yeye au si yeye.Ni tuhuma au wana ushahidi?
Kama ni kweli wameshindwa au wameogopa nini kuchukua hatua dhidi yake?
Kwani wengine wanakuwa treated vipi?
Angalia treatment aliyopewa mtuhumiwa wa mihadarati,jiulize ingekuwa ni wewe wange ku pet namna hiyo? The picture is on the wall,for all to see.Haya mabasi si yalisemwa ni ya Mwigulu.
🤣Inategemea na nguvu ya mmiliki,hapo picha inazidi kun'gaa,hatimaye Tutamjua kama ni yeye au si yeye.
Word.Angalia treatment aliyopewa mtuhumiwa wa mihadarati,jiulize ingekuwa ni wewe wange ku pet namna hiyo? The picture is on the wall,for all to see.
Wewe ndiye mjingaWaambie wajinga hawa.
Wanamhusisha mwigulu wakati hana hata senti tano kwenye hayo magari
Tunajipa kazi zisizo na msingi------ kusema mirungi na dhambi ni ujuha mwingine. Ni vema tuvivpunguzie vyombo vya ulinzi majukumju ya kufanyaKamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kilimanjaro imemweka kiti moto mmiliki wa mabasi ya Ester Luxury Coach baaada ya mabasi yake kudaiwa kukubuhu katika biashara ya usafrishaji madawa ya kulevya aina ya milungi.
Mmiliki huyo alifika mbele ya kamati hiyo hivi karibuni iliyoketi chini ya mwenyekiti wake na ambaye ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro,Nurdin Hassan Babu kikao kilichofanyika jengo la ofisi ya mkuu wa mkoa wa kilimanjaro.
Mbele inafata herufi "F"Mnaomuonea bure tu. Mmiliki halali wa hizo buses gari anayotembelea ina plate namba inayoanzia na herufi 'W'