Mabasi ya Ester Luxury coach yadaiwa kusafirisha milungi

Mnaomuonea bure tu. Mmiliki halali wa hizo buses gari anayotembelea ina plate namba inayoanzia na herufi 'W'
Waambie wajinga hawa.
Wanamhusisha mwigulu wakati hana hata senti tano kwenye hayo magari
 
Mirungi nayo ni ulevi unaoathiri nini?

Mimi naona kama nishai tu ya yule anayekula, ikiisha basi anaendelea na kazi zake. Sawa na bangi tu.

Haya mengine ni ya kupoteza muda tu kwa askari na kuwapa ulaji, wao washughulike na wa madawa ya kulevya (heroine, cocaine, fentanyl) ambazo zinaleta athari kubwa sana kwa jamii kuliko hiyo mirungi na bangi.
 
Ni tuhuma au wana ushahidi?
Kama ni kweli wameshindwa au wameogopa nini kuchukua hatua dhidi yake?
Kwani wengine wanakuwa treated vipi?
Inategemea na nguvu ya mmiliki,hapo picha inazidi kun'gaa,hatimaye Tutamjua kama ni yeye au si yeye.
 
Angalia treatment aliyopewa mtuhumiwa wa mihadarati,jiulize ingekuwa ni wewe wange ku pet namna hiyo? The picture is on the wall,for all to see.
Word.
Jina lake limehifadhiwa. Ama kweli pata wadhifa mpaka uhalifu uonekane kama ucha Mungu.
 
Tunajipa kazi zisizo na msingi------ kusema mirungi na dhambi ni ujuha mwingine. Ni vema tuvivpunguzie vyombo vya ulinzi majukumju ya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…