Mabasi ya Hood yameishia wapi?

Mabasi ya Hood yameishia wapi?

Jamani mabus ya Hood yamefia wap? Hood was the only competitor ya Abood and was going faster na pia was sharp wamefia wap? Abood mmewafanya nn?

Bila connections nchi hii hata Abood yasingekuwapo.

Angalia Shabiby pia. Hao wana rub shoulders na mawaziri wa sekta husika bungeni: mambo ya ndani na uchukuzi.

Magari yao yasumbuliwe vipi na wale mabingwa wa kubrashi viatu?
 
Bila connections nchi hii hata Abood yasingekuwapo.

Angalia Shabiby pia. Hao wana rub shoulders na mawaziri wa sekta husika bungeni: mambo ya ndani na uchukuzi.

Magari yasumbuliwe vipi na wale mabingwa wa kubrashi viatu?
Bila connections au uhusika wa vigogo, ku-survive ni ishu..!! Akina Superfeo/Selous ina mikono ya akina Jeni, Ana etc
 
Bila connections nchi hii hata Abood yasingekuwapo.

Angalia Shabiby pia. Hao wana rub shoulders na mawaziri wa sekta husika bungeni: mambo ya ndani na uchukuzi.

Magari yasumbuliwe vipi na wale mabingwa wa kubrashi viatu?
Sio kweli.
Abood anaendana na uhitaji wa soko,kitu mchina nani apande scania old model,angebakia na masufulia yake angebakia jina tu kama Hood
 
Back
Top Bottom