sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Asubuhi ya leo nimekutana na magari mawili makubwa aina DCM yakiwa yamepakia wanafunzi kwenye barabara ya kwa Musuguri. Aisee magari yakiwa yanashuka bondeni ukiwa bwaloni pale, gari dereva akipunguza break utadhani ni bom la Ukraine gari zinalia sana kuashiria yakuwa hazifanyiwi services.
Natoa tahadhari hizi gari zitakuja kuleta majanga kwa watoto wetu wanabebwa kwenye migari hiyo mibovu.
Rweikiza rekebisha kabla ya mvua kunyesha iliujue panapo vuja
Usije dhani Mimi ni mpinzani wako kwahiyo nakupondea, la hasha. Kama ukiusoma uzi huu kabla ya madereva kurekebisha nenda jarbu kuziendesha utakuja kunishukuru.