YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile.
Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani rubani kabla haijatengemaa na kukaa sawa mruko inabidi aweke gia ya kushusha chini hiyo route inafaa ndege ndogo tu
Mabasi ya umeme majiji yetu madogo yataharibika sababu mwendo wao sio wa kitoto hebu fikiria unapanda mwendo kasi ferry dar kituo kinachofuata ni posta ya zamani,dereva anaondoa basi kituo kinachofuata ni pale posta ya zamani mbele pale watu wanapanda meli kwenda zanzibar ukitoka pale aluwashe tena kituo kinachofuata kisutu. Akiwasha tena mbio kituo kinachofuata zimamoto!!!
Hayo mabasi yanafaa route ndefu ni kama tu treni za uneme
Umeme wetu pia wa kudunduliza Tanesco hopeless kabisa Tanesco pekee wangeweza kuendesha bajeti yote ya serikali na bandari tu
Lakini hawajielewi kabisa hopeless. Nilisika hadi mkurugenzi wa TRC akisema watakuwa na umeme wao wa kuendesha SGR! Hawatategemea TANESCO.
Kwa Tanzania shirika namba moja kwa u hopeless ni Tanesco halina ushindani lakini bado performance almost zero