Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu, majiji si makubwa na vituo vipo karibukaribu

Vice versa is True, Mabasi ya umeme hayana uwezo wa kupiga Route ndefu inabidi yachajiwe. Hivyo route ndogo ndogo ndio zinafaa.
 
Vice versa is True, Mabasi ya umeme hayana uwezo wa kupiga Route ndefu inabidi yachajiwe. Hivyo route ndogo ndogo ndio zinafaa.
Ok shukrani hii mada nilianzisha kusudi nadhani wakija hao wafaransa kujadili hilo kwa michango iliyomo humu watu wa serikali watakuwa walau wana clue what it is what na waandishi wa habari watakuwa wanajua what it is what na general public itakuwa inajua what is what .Misconception nyingi wadau mumechangia vizuri mno mume zi clear
 
Sema umeme tu ndio utakorogisha kutokana na Umeme wetu. Lakini mabasi ya umeme havihusiani na Urefu ama ufupi wa route zake.
Ni mabasi tu ya.Mjini kama ya 'Mwendo Kasi'.
Hata kule kwenyewe yanakotumika ni Mabasi ya route za mjini tu, sio route mdefu za mikoani!
Zungumzia Umemw tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…