Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kutoka Kigoma , Katavi , Tabora , Nachingwea nk wanafikaje Dar ?Huu ni ujinga, haikupaswa kukodi mabasi bali waondoke kimya kimya
Kila mtu snakata tiketi kivyake kama hamjuani vileKutoka Kigoma , Katavi , Tabora , Nachingwea nk wanafikaje Dar ?
Ni Kilimanjaro...Kutoka Kigoma , Katavi , Tabora , Nachingwea nk wanafikaje Dar ?
tangu lini wasela wakaelewa ?Mbowe bhana anaongea tu ila yeye kuwa mstari wa mbele hawezi
Hujaelewa mada au umeamua kujinyofoa ubongo ?Ni Kilimanjaro...
Huko ulikotaja wameshawashitukia long sana.
Wangeandamana huko mikoani mwaoKutoka Kigoma , Katavi , Tabora , Nachingwea nk wanafikaje Dar ?
Jifanye hujaelewa kilichoandikwa ila huo ndio uhalisia.Hujaelewa mada au umeamua kujinyofoa ubongo ?
Unaambiwa ni zaidi ya 100 wewe unazidisha mara 100 !100x54 = 5400
Wachache sana Sawa na misa ya kwanza pale KKKT Tangi bovu
Mbn kama umeuza code hvTaarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.
Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.
Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Hii ni sawa na somba somba ya ccm kujaza mikutano yaoMaandamano huwa yanafanyika kila mmoja na eneo lake hilo lenu ni kongamano la vikoba kwenda kugawana gawio hospital ya muhimbili na mwananyamala moi kitengo cha mifupa ondoeni wagonjwa waliopata nafuu tupokee wapya!
Maandamano ya Amani hayajawahi kuwa siriMbn kama umeuza code hv
Tofauti sana , CCM wanasomba watu kwa magari ya bure , hawa wamejilipia wenyeweHii ni sawa na somba somba ya ccm kujaza mikutano yao