Pre GE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.

Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.

Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Kwanini hao wanachama wasiandamane mikoani kwao?
 
Kwaiyo na nyie mmeanza kupakia watu kwenye mafuso kama CCM?
 
Chama chao kilieleza kwamba Maandamano hayo yataishia ofisi za UN , So how you walk on foot from Katavi , Kyela , Nachingwea , Ukerewe etc to reach UN office in Dar es Salaam ?
Ooh sawa mie nilijua ni nchi nzima..dar wanaandamana na mikoani wanaandamana...ili kuwapagawisha vzr
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.

Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.

Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Acha kuhamisha magoli!! Umeona maandamano yamepuuzwa mnatafuta sababu za kijinga
 
Maandamano huwa yanafanyika kila mmoja na eneo lake hilo lenu ni kongamano la vikoba kwenda kugawana gawio hospital ya muhimbili na mwananyamala moi kitengo cha mifupa ondoeni wagonjwa waliopata nafuu tupokee wapya!
mkuu chadema wataandama kuelekea makao makuu ya UN...vipi kuna makao makuu nyingine ya UN ndani ya hii Tz tofauti na hii ya Dsm?
 
Kwanini wasiandame huko kigoma na katavi?
Maandamano yamepangwa yafanyike Dar kwa sababu Mabalozi wa Nchi za Magharibi na Mashariki wako Dar.

Huko Meatu nani ataona malalamiko yetu.

Lengo kuu ni CCM wakileta ubishi misaada ikatwe.
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.

Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.

Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Wengi wa wamiliki wa mabasi hayo wanadaiwa kodi TRA, kwa nini wasikamatwe?
 
Maandamano yamepangwa yafanyike Dar kwa sababu Mabalozi wa Nchi za Magharibi na Mashariki wako Dar.

Huko Meatu nani ataona malalamiko yetu.

Lengo kuu ni CCM wakileta ubishi misaada ikatwe.
Kwani mnafanya maandamano kwa ajili ya mabalozi au watanzania
 
Back
Top Bottom