Wewe ndo ufaa kushika Bango siku ya maandamanoYour understanding is very limited. You don't grasp the correlation between your life and leadership. It's not your fault, but rather the environment you grew up in has shaped you with a slave mentality
Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano[emoji419][emoji375]Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.
Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.
Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Can you engage in cognitive processes that transcend conventional parameters?Wewe ndo ufaa kushika Bango siku ya maandamano
Elimu yako inakufaidisha nini kenge maji!vikoba - VICOBA
muhimbili - Muhimbili
moi -MOI
vilaza mna boa sana.
Huko ni kukosa maarifa na upuuzi!mkuu chadema wataandama kuelekea makao makuu ya UN...vipi kuna makao makuu nyingine ya UN ndani ya hii Tz tofauti na hii ya Dsm?
So Nyerere alibeba bunduki kwenda vitani Uganda 1978?Mbowe bhana anaongea tu ila yeye kuwa mstari wa mbele hawezi
Jiwe na ukatili wake aliishia wapi ? au unataka kuzimia tena na mfuko mkononi ?Haina haja ya kulipwa mtu pesa nawasaga tuu hamuwezi kurudia wakati mwingine.
Kimsingi ccm wengi Hawapendi hii staili ya mama ya kuwachekea chekea
Kimsingi Chalamila ameyatangaza haya Maandamano kuliko hata MboweZaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii natural colour chadema ni mpango wa allah
Takhbiiiiirrrr !!Kwa hii natural colour chadema ni mpango wa allah
😂Takhbiiiiirrrr !!
Maandamano haya siyo siriErythrocytes futa Uzi huu .unaansha makondoo
Haya, sasa elezeni mmetumia shillingi ngapi kuandaa maandamano na zimetoka wapi?Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.
Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.
Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Na watarudishajeèe?Haya, sasa elezeni mmetumia shillingi ngapi kuandaa maandamano na zimetoka wapi?
Kwanza tujuwe ngapi na wamezitowa wapi?Na watarudishajeèe?
Kwa chuki na roho mbaya hii kwa Chadema huna muda mrefu utapata matatizo makubwa ya Moyo kwa sababu chadema ndio kwanzaaaaaaaaa wameanza. Jiandae kisaikolojiaMaandamano huwa yanafanyika kila mmoja na eneo lake hilo lenu ni kongamano la vikoba kwenda kugawana gawio hospital ya muhimbili na mwananyamala moi kitengo cha mifupa ondoeni wagonjwa waliopata nafuu tupokee wapya!