Pre GE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

Pre GE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Your understanding is very limited. You don't grasp the correlation between your life and leadership. It's not your fault, but rather the environment you grew up in has shaped you with a slave mentality
Wewe ndo ufaa kushika Bango siku ya maandamano
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.

Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.

Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina haja ya kulipwa mtu pesa nawasaga tuu hamuwezi kurudia wakati mwingine.

Kimsingi ccm wengi Hawapendi hii staili ya mama ya kuwachekea chekea
Jiwe na ukatili wake aliishia wapi ? au unataka kuzimia tena na mfuko mkononi ?

Katika_Historia:%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hakuu...jpg
 
Kyela : Basi linaanzia Stendi kuu , kituo cha Pili ni Junction kwa ajili ya wale wa boda na Malawi
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.

Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.

Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Haya, sasa elezeni mmetumia shillingi ngapi kuandaa maandamano na zimetoka wapi?
 
Maandamano huwa yanafanyika kila mmoja na eneo lake hilo lenu ni kongamano la vikoba kwenda kugawana gawio hospital ya muhimbili na mwananyamala moi kitengo cha mifupa ondoeni wagonjwa waliopata nafuu tupokee wapya!
Kwa chuki na roho mbaya hii kwa Chadema huna muda mrefu utapata matatizo makubwa ya Moyo kwa sababu chadema ndio kwanzaaaaaaaaa wameanza. Jiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom