Mabasi ya Mwanza

Mabasi ya Mwanza

happy nation nauli ni ileile elekezi.. ila ngoja kwanza mkuu ni unamtumia nauli au wewe ndo unaenda..? jitafakari sana 78000 ni nyingi kaka!🤣
 
Ally's ..
Katarama..
Happy nation..
Sama
Abood
Hizo bei imechangamka kidogo...
Gari la bei rahisi ni
Zuberi 65,000 saa moja jion
Zuberi 60,000 saa tisa usiku
 
Back
Top Bottom