Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee, New Force Je ?Sauli ndio iko mbele pale
Pole nadhani trafiki wapo. Waulize, kuwa na courage ya kuwa approach!Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.
Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Mh! ngoja niacha comment yangu maana nakuonaga kwa mbali kama mtu wa busara hapa JF, sasa hili sijui niliweke wapiShuka kwenye gari mfuate askari yoyote kuna operation gani inaemdelea hapo? Atakujibu. Au na wewe ni kama UMUGHAKA GENTAMYCINE, unawaogopa askari, hata wale mambo ukiwaona unajificha?
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume Mimi ni Poti Mura,hao mapoti wenzangu wananifahamu vizuri tata![emoji23][emoji23][emoji23]Shuka kwenye gari mfuate askari yoyote kuna operation gani inaemdelea hapo? Atakujibu. Au na wewe ni kama UMUGHAKA GENTAMYCINE, unawaogopa askari, hata wale mambo ukiwaona unajificha?
Waite wale vichaa kutoka lile kundi la kichaa mmoja kila watanzania 4 🤸🤸Kylanda ni kwa wale tu wenye matatizo ya akili
Nini kimetokea!Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.
Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Kylanda ni kwa wale tu wenye matatizo ya akili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shuka kwenye gari mfuate askari yoyote kuna operation gani inaemdelea hapo? Atakujibu. Au na wewe ni kama UMUGHAKA GENTAMYCINE, unawaogopa askari, hata wale mambo ukiwaona unajificha?