Mabati bora ya kuezeka nyumba

Mabati bora ya kuezeka nyumba

HAMISI HH

Member
Joined
Jul 1, 2024
Posts
6
Reaction score
1
Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
 
Nenda ALAF Ltd, huko kwingine utajutia ni suala la muda tu
 
Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
Isake Alaf ilipo.
 
ALAF njoo inbox nikupatie bidhaa toka kiwandani
 
Tahadhari Ogopeni matapeli wanaojiita mawakala, wengi wao siyo waaminifu, wanachanganya bati za kampuni tofauti tofauti halafu wanakuizia bei kubwa km bati za ALAF.

Kwa uzoefu wangu km nyumba yako ni kubwa na unahitaji bati nyingi bora uende kiwandani mwenyewe.

Siri ni moja tu waliyoniambia ALAF kipindi nanunua kiwandani kwao, walisema bati lao original lina mhuri wa moto, na kweli bati zote nilizobeba pale zilikuwa na mhuri wa moto, Toka 2020 Dec hadi Leo watu wanapita wanashangaa hayapauki, utafikiri nimeweka jana. Ila kwa bei ndo habari nyingine, ukizingtia nilichukua yale ya muundo wa vigae, na ubebaji wake nilitumia semi maana kulikuwa na marefu hadi mita 12 na point. Ila namshukuru sana Mungu mambo siyo mabaya
 
kumbe wanakata hadi mita 12 vipi kuhusu kofia walikukatia ndefu?
 
Back
Top Bottom