BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
kumbe wanakata hadi mita 12 vipi kuhusu kofia walikukatia ndefu?yah
Ndiyo wanakata, hata mafundi walikuwa hawajawahi kukata mita 12+ . Kuhusu kofia nadhani hawakati, nilikuta zipo tayari nadhani ni ft 12 (sina uhakika sana) ila za valley hazikuwepo wakatuambia tuchukue bati za kawaida za rangi km ile ya bati mafundi wakakunje maan zinakaa ndani tu zinafaa, na fundi alikubali na kusema hufanya hivyo mara nyingi wakikuta valleys zimeisha.kumbe wanakata hadi mita 12 vipi kuhusu kofia walikukatia ndefu?
ndio naskia kofia zao n mita 3 mwisho.Ndiyo wanakata, hata mafundi walikuwa hawajawahi kukata mita 12+ . Kuhusu kofia nadhani hawakati, nilikuta zipo tayari nadhani ni ft 12 (sina uhakika sana) ila za valley hazikuwepo wakatuambia tuchukue bati za kawaida za rangi km ile ya bati mafundi wakakunje maan zinakaa ndani tu zinafaa, na fundi alikubali na kusema hufanya hivyo mara nyingi wakikuta valleys zimeisha.
Bati ya Covermax ukiezekea paa linang'aa hatariCovermax . Tena hapo Kuna Kijana mwingine wa hovyo alinambia. 51k
Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
Sahihi.ndio naskia kofia zao n mita 3 mwisho.
Siyo kweli mkuu, labda useme matunzo nayo yanaongeza maisha ya bati. 30G no zaidi ya hiyo uliweka hapo. Ninayo leo mwaka wa 18 huu na sifikrii kubadilisha hivi karibuni!Kiwango cha ubora kinapimwa na maisha ya Bati ambao gauge 30 ni kati ya miaka 10 hadi 15 warranty utapewa walau 5yrs
Mkuu hayo mabati unayatumia mkoa gani? Lakini nenda kasome standard za bati utajua ninachosema.Siyo kweli mkuu, labda useme matunzo nayo yanaongeza maisha ya bati. 30G no zaidi ya hiyo uliweka hapo. Ninayo leo mwaka wa 18 huu na sifikrii kubadilisha hivi karibuni!
Mkuu noamba uelezee zaidi kuhusu hili bati.
Mkuu noamba uelezee zaidi kuhusu hili bati.
Nyumb yako ina mita ngap upan na marefu?Upo sehemu Gani nimechukua juzi Dodoma, Alaf gauge 28 bei ni 46500 ya 3m nahemea juu juu nilichukua bati 165
Mita moja sh ngapi?Tahadhari Ogopeni matapeli wanaojiita mawakala, wengi wao siyo waaminifu, wanachanganya bati za kampuni tofauti tofauti halafu wanakuizia bei kubwa km bati za ALAF.
Kwa uzoefu wangu km nyumba yako ni kubwa na unahitaji bati nyingi bora uende kiwandani mwenyewe.
Siri ni moja tu waliyoniambia ALAF kipindi nanunua kiwandani kwao, walisema bati lao original lina mhuri wa moto, na kweli bati zote nilizobeba pale zilikuwa na mhuri wa moto, Toka 2020 Dec hadi Leo watu wanapita wanashangaa hayapauki, utafikiri nimeweka jana. Ila kwa bei ndo habari nyingine, ukizingtia nilichukua yale ya muundo wa vigae, na ubebaji wake nilitumia semi maana kulikuwa na marefu hadi mita 12 na point. Ila namshukuru sana Mungu mambo siyo mabaya
Usihofu, mabati ya nyasi yako poa sanaNaomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
Sikumbuki vizuri ni muda kidogo 2020, ila iliikuwa haipungui elf 27. Maana bati aina hii pamoja na ROMANTILE ndo zenye bei kubwa kuliko zote. Nilikamuliwa kisawasawa sina hamu ila ndo hivyo usipende vizuri lazima ugharamie. Na hizi bei hubadilika kwa sasa zinaweza kuwa tofauti, ni wewe tu kwenda kiwandan kuuliziaMita moja sh ngapi?