Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili zako epidemic disease inaenda mpk mwezi isiathiri population ???Umefanya vizuri kutumia neno 'nijuavyo'....
Kwa akili zako epidemic disease inaenda mpk mwezi isiathiri population ???
Ndugu si umeenda shule yani ebola tangu walete umbea kuwa ipo Tz ni mwezi sasa na huu ni ugonjwa wa mlipuko usioneshe athari kweli ???
Ndugu hapa nimekuona mjinga sana.
Tz hawana uwezo wa kutengeneza dawa asa sijui Keko pharmaceuticals industries zinaganya kaz gani???Wewe kuniona mjinga hilo sio issue maana humu kila mmoja anatapika ujinga ua uwerevu wake na sote tunaonana kulingana na tunavyotaka, nina uhuru wa kukuona mpumbavu wa mwisho na wala haitaathiri chochote hapo ulipo.
Suala hapa sio Ebola kuenea au kutoenea, suala sio uwepo wa Ebola kwenu au vinginevyo, issue kubwa hapa ni kwanini mumeiweka siri, hamtaki hao wataalam wakague nini haswa kilitendeka mpaka wameishia kutoa tahadhari namna hii.
Niliona sehemu mkulu wenu akisema alimfuta kazi mtumishi wa serikali kisa alikiri mnayo Zika, inaashiria hofu iliyotanda kwa watumishi wote kwamba hakuna hata mmoja atakubali awe wa kwanza kutoa tamko la kitu gani kimetendeka kwenu huko, inaweza isiwe Ebola lakini kwa usiri huu na mikwara na misifa ilhali wenyewe hamna hata uwezo wa kutengeneza dawa ya mafua mnaweza mkawa hatari sana kwa majirani mnaotengamana nao.
Aloficha nani? Wamewatbu wakasema hakuna ebola kwa wale wagonjwa, unataka tuwape nn kingne? Au unataka watz tufe kwa ebola mana tukiwapa chance tu tumeishaWewe kuniona mjinga hilo sio issue maana humu kila mmoja anatapika ujinga ua uwerevu wake na sote tunaonana kulingana na tunavyotaka, nina uhuru wa kukuona mpumbavu wa mwisho na wala haitaathiri chochote hapo ulipo.
Suala hapa sio Ebola kuenea au kutoenea, suala sio uwepo wa Ebola kwenu au vinginevyo, issue kubwa hapa ni kwanini mumeiweka siri, hamtaki hao wataalam wakague nini haswa kilitendeka mpaka wameishia kutoa tahadhari namna hii.
Niliona sehemu mkulu wenu akisema alimfuta kazi mtumishi wa serikali kisa alikiri mnayo Zika, inaashiria hofu iliyotanda kwa watumishi wote kwamba hakuna hata mmoja atakubali awe wa kwanza kutoa tamko la kitu gani kimetendeka kwenu huko, inaweza isiwe Ebola lakini kwa usiri huu na mikwara na misifa ilhali wenyewe hamna hata uwezo wa kutengeneza dawa ya mafua mnaweza mkawa hatari sana kwa majirani mnaotengamana nao.
Tz hawana uwezo wa kutengeneza dawa asa sijui Keko pharmaceuticals industries zinaganya kaz gani???
Ugonjwa wowote wa mlipuko hauwezi kujificha man.
Time will tell.
Aloficha nani? Wamewatbu wakasema hakuna ebola kwa wale wagonjwa, unataka tuwape nn kingne? Au unataka watz tufe kwa ebola mana tukiwapa chance tu tumeisha
Fala wa kupindukia kweli ww!!Ndio yale yale mnarudia rudia hilo tamko mumekua kama kasuku, suala sio ugonjwa kujificha, ila mbona usiri wote huo kwa kitu ambacho mnaweza kuangamiza hata majirani ilhali hamna uwezo wa kutengeneza madawa, labda msubiri maelekezo kutoka kwa hao mabeberu jinsi gani ya kuchanganya changanya kemikali.
Hao wajinga wako brainwashed kijinga mnooo achana naoFala wa kupindukia kweli ww!!
Njoo keko nikupeleke KEKO PHARMACEUTICALS INDUSTRY DARESALAAM WILAYA YA TEMEKE UONE WATU WANAVYOTENGENEZA DAWA.
Asa kuna nini mpk tuweke usiri??
Mbona unakua km mdada asiyejua nn anataka??
Hakuna mlipuko wowote wa ugonjwa kaeni msubiri ni mwezi umepita sasa kaeni mkisubiri utokee kesheni mkiomba.
Fala wa kupindukia kweli ww!!

Hehehe!! Hapo wapi nimekugusa ukpata raha hivi, anyway nakuacha maana hadi hapo umeshindwa hoja huna uwezo tena ila kubwatuka bwatuka ila ukweli hamna viwanda vya madawa huko, hoi kupita maelezo, ndio sasa mjadala umepamba moto mnajadili jinsi gani mtaanzisha viwanda. Asilimia 80% ya madawa mnaagiza kutoka kwa mabeberu, asilimia 20% iliyosalia ndio huwa mnasuasua nayo mkizalisha panadol za maumivu.
Hebu soma hili tamko la Dkt Omary Chillo, Rais wa Kongamano la kila mwaka la Afya nchini Tanzania (Tanzania Health Summit)
"Inasikitisha kuwa 80% ya dawa Tanzania tunanunua nje hata maji yale yanayohitajika hospitalini ambayo ni rahisi kutengeneza tunanunua pia,"Dkt Chillo aliiambia BBC.
![]()
Mjadala kuhusu viwanda vya sekta ya afya wapamba moto Tanzania - BBC News Swahili
Takribani asilimia themanini ya dawa zinazotumika nchini Tanzania zinazalishwa nje ya nchi na kusalia asilimia ishirini peke yake ambayo hutengenezwa nchini humowww.bbc.com
Wewe kuniona mjinga hilo sio issue maana humu kila mmoja anatapika ujinga ua uwerevu wake na sote tunaonana kulingana na tunavyotaka, nina uhuru wa kukuona mpumbavu wa mwisho na wala haitaathiri chochote hapo ulipo.
Suala hapa sio Ebola kuenea au kutoenea, suala sio uwepo wa Ebola kwenu au vinginevyo, issue kubwa hapa ni kwanini mumeiweka siri, hamtaki hao wataalam wakague nini haswa kilitendeka mpaka wameishia kutoa tahadhari namna hii.
Niliona sehemu mkulu wenu akisema alimfuta kazi mtumishi wa serikali kisa alikiri mnayo Zika, inaashiria hofu iliyotanda kwa watumishi wote kwamba hakuna hata mmoja atakubali awe wa kwanza kutoa tamko la kitu gani kimetendeka kwenu huko, inaweza isiwe Ebola lakini kwa usiri huu na mikwara na misifa ilhali wenyewe hamna hata uwezo wa kutengeneza dawa ya mafua mnaweza mkawa hatari sana kwa majirani mnaotengamana nao.
Yani unajiumbua hata ww mwenyewe.
Hiyo asilimia 20 unayoiona hapo inafanya nini??
Ulitamka kuwa hatuna uwezo wa kutengeneza dawa hiyo asilimia 20 imetokea wapi??
Hutumii akili then unasema sina hoja ilhali unajiumbua kwa fact zako mwenyewe.
Waziri wa afya alishaongea kuhusu taratibu za WHO zinazotaka Walau sample 20 na unapeleka sample ikiwa kuna ugonjwa Ili kuthibitisha uwepo wa huo ugonjwa.
Sasa sample ziko Mbili na Hazina ugonjwa na hazifiki ishirini unazipekeka kwa kigezo Gani?
Labda WHO wangesema TZ walipaswa kuvunja taratibu na Kanuni ili kuwafurahisha Watu flani.
Vilevile Watu wa WHO wapo TZ na wameshirikishwa kila Kitu, hapa ndio tunapata ukakasi kuwa huenda kuna masuala zaidi tusiyoyaelewa ambayo yanalazimisha taratibu zikiukwe.
Una uhakika??Hyo nimekuambia ni ya kuunga unga panadols
hahaaaa...hawa waswahili wa dona kantri waanze na vichokonozi maana dah hali sio haliHehehe!! Hapo wapi nimekugusa ukpata raha hivi, anyway nakuacha maana hadi hapo umeshindwa hoja huna uwezo tena ila kubwatuka bwatuka ila ukweli hamna viwanda vya madawa huko, hoi kupita maelezo, ndio sasa mjadala umepamba moto mnajadili jinsi gani mtaanzisha viwanda. Asilimia 80% ya madawa mnaagiza kutoka kwa mabeberu, asilimia 20% iliyosalia ndio huwa mnasuasua nayo mkizalisha panadol za maumivu.
Hebu soma hili tamko la Dkt Omary Chillo, Rais wa Kongamano la kila mwaka la Afya nchini Tanzania (Tanzania Health Summit)
"Inasikitisha kuwa 80% ya dawa Tanzania tunanunua nje hata maji yale yanayohitajika hospitalini ambayo ni rahisi kutengeneza tunanunua pia,"Dkt Chillo aliiambia BBC.
![]()
Mjadala kuhusu viwanda vya sekta ya afya wapamba moto Tanzania - BBC News Swahili
Takribani asilimia themanini ya dawa zinazotumika nchini Tanzania zinazalishwa nje ya nchi na kusalia asilimia ishirini peke yake ambayo hutengenezwa nchini humowww.bbc.com
Kweli kuwazuia hatuwez lakn ni bora wafanye hzo njia zingne tufe tukijua wabaya wetu kuliko kutufanya sis as human expperiment huku wananchi wakipofushwa kuwa wanasaidiwaHehehe!! Nimejikuta nacheka hapa, hivyo hapo ulipo kwa akili zako unawaza kwamba kuwazuia kuja kuchunguza nini kilitendeka eti mumejilinda, wale wakitaka muambukizwe Ebola hawatakua na haja ya kufuata hayo mnayoyaficha, yaani hata haiwezi ikachukua masaa mawili kabla hawajaibua mkurupuko huko kwa njia zao nyingine nyingi tu, hivyo hamna kikubwa mnafanya kwa kuwazuia.
Hili la Ebola hawawezi wakaambukiza kwa hila maana ni ugonjwa ambao umewababaisha wao wenyewe pia, watu wao wanaokuja kuja huku kutalii wakirudi wanaweza wakaambukiza na kuibua mkurupuko kwao huko ukizingatia hawajaweza kuukabili ipasavyo.