Mabeberu bado wanaifuata Tanzania, CDC nao watoa tahadhari kwa wasafiri wanaokwenda Tanzania wajihadhari Ebola

Mabeberu bado wanaifuata Tanzania, CDC nao watoa tahadhari kwa wasafiri wanaokwenda Tanzania wajihadhari Ebola

Halafu kaka sio km hatuwez kuwazuia japo kidogo.Kuna asilimia flani kuwazuia tunaweza kwasababu sio kwamba Tz hatuna madaktari wabobezi(super specialists) bali hao wabobezi walikua hawapewi kipaumbele toka enzi za Jakaya.
Ila ability tunayo japokuwa wao wametuzidi.
Kweli kuwazuia hatuwez lakn ni bora wafanye hzo njia zingne tufe tukijua wabaya wetu kuliko kutufanya sis as human expperiment huku wananchi wakipofushwa kuwa wanasaidiwa
 
Utaulizwa "usiri mnauweka wa nn kwa kitu ambacho mwaweza ua hata majirani"?.
WHO wenyewe wanasema suspect wanaye dai anaweza kuwa na ebola alipita mikoa mi 3 ya Tz kabla ya kuja Dar...Ebola inaeleweka how it spreads fast...kama ingekuepo ..watu wote wa hyo mikoa mitatu + dar wangekua wagonjwa tayar...imepitwa mwez sasa. .labda inawezekana ni hemorhagic fever nyingne sio ebola
 
jamani mbona mnaficha maradhi haya...mtatuua majirani zenu etiii ebooo!!!😡
 
Sasa hivi ukitua airports nyingi kutokea TZ, lazima ujaze ile miform na wakucheck kama temperature yako ipo juu beyond normal. Yaani tayari tumeingizwa kwenye list moja na DR Congo.Thanks to WHO kwa kuraise (false!?) alarm
 
Kuna kitu wanatafuta
 
Back
Top Bottom