Kweli kuwazuia hatuwez lakn ni bora wafanye hzo njia zingne tufe tukijua wabaya wetu kuliko kutufanya sis as human expperiment huku wananchi wakipofushwa kuwa wanasaidiwa
WHO wenyewe wanasema suspect wanaye dai anaweza kuwa na ebola alipita mikoa mi 3 ya Tz kabla ya kuja Dar...Ebola inaeleweka how it spreads fast...kama ingekuepo ..watu wote wa hyo mikoa mitatu + dar wangekua wagonjwa tayar...imepitwa mwez sasa. .labda inawezekana ni hemorhagic fever nyingne sio ebola
Kuna kitu wanatafutaSasa hivi ukitua airports nyingi kutokea TZ, lazima ujaze ile miform na wakucheck kama temperature yako ipo juu beyond normal. Yaani tayari tumeingizwa kwenye list moja na DR Congo.Thanks to WHO kwa kuraise (false!?) alarm
Yan epidemic disease ijifiche within a month ??jamani mbona mnaficha maradhi haya...mtatuua majirani zenu etiii ebooo!!!😡
Na kweli wala si utani.Kuna kitu wanatafuta