"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

[emoji120][emoji120][emoji120] Mimekuekewa MKUU and I regret to be little bit harsh but we are so frustrated WHY WHY WHY.... when we got president who is non Muslim our blood become very weak and useless?
Do you think these things are happening by chance or are well planned?
Tunechoka kuona ndugu zetu wakiuawa kama nzige. Tunechoka kuona ndugu zetu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa milele.....
Kama ni upinzani hata Bara wapo wapinzani mbona hawapelekewi majeshi ya Burundi?
If you're going to dig deep you will realise there are somethings behind the scenes
That's why 99% ya Wazanzibari we are against CCM
YOU will be shocked to know hata Hussein Mwinyi alimpigia kura MAALIM SEIF
Wanaonewa wengi bila kujali dini yao, usijielekeze kwenye dini ambayo ni easier defence, tafuta angle nyingine uiegemee.
 
Gaddafi alikua mbabe na katili kuliko jiwe na alikua anaongea kwa kiburi sana mwisho wake ni huo
Two different contexts, Libya kulikuwa na civil war umeshona dalili yeyote ya mwananchi wa Tanzania kuingia msituni na kuanza civil war?

Maandamano tu watu wangeona kumsuppirt huyo Mbelgiji.
 
🙏🙏🙏 Mimekuekewa MKUU and I regret to be little bit harsh but we are so frustrated WHY WHY WHY.... when we got president who is non Muslim our blood become very weak and useless?
Do you think these things are happening by chance or are well planned?
Tunechoka kuona ndugu zetu wakiuawa kama nzige. Tunechoka kuona ndugu zetu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa milele.....
Kama ni upinzani hata Bara wapo wapinzani mbona hawapelekewi majeshi ya Burundi?
If you're going to dig deep you will realise there are somethings behind the scenes
That's why 99% ya Wazanzibari we are against CCM
YOU will be shocked to know hata Hussein Mwinyi alimpigia kura MAALIM SEIF
Huu ni mwaka wangu wa 30 kwenye sekta hii ya habari, nilianza mwaka 1990!. Hivyo 1990-1995 rais alikuwa Mwinyi ni Muislamu na ndipo kulitokea vurugu za Mwembechai!.

2005 -2015 rais alikuwa JK ni Muislamu na ndio kipindi masheikh wa uamsho wameshughulikiwa!.

Zanzibar ni Waislamu 98%, na baada ya Mapinduzi, mlichinjana kama kuku!, kama sio Mkristo Julius, baadhi yenu msingekuwepo leo, maana wazazi wa kuwazaa wasingekuwepo, wangekuwa au wamechinjwa zamani, or wametoswa baharini na jiwe shingoni!.

Nakuomba sana hizi vurugu au dhulma za kisiasa, usizihusishe na dini ya kiongozi wa nchi!.
P
 
Two different contexts, Libya kulikuwa na civil war umeshona dalili yeyote ya mwananchi wa Tanzania kuingia msituni na kuanza civil war?

Maandamano tu watu wangeona kumsuppirt huyo Mbelgiji.
Hakukua na civil war Bali NATO Ndio ilimmaliza Gaddafi
Wale watu wa banghazi walikua wanaonewa kama vile jiwe anvyowaonea Wazanzibari
Raia wa Libya hawakua na silaha za kupigana
As we speak now Ndio kuna civil war
When you say watanzania hawawezi kuingia msituni unajidanganya
Hivi majuzi wazanzibari walakataa kuandamana mikono mitupu walimuomba maalim Seif awatafutie kontena la silaha Ndio wataandamana kauli kama hizi zinaonyesha vipi watu wamechoka kunyanyaswa katika nchi yao
Anyway Wacha tuone dhulma na unyanyasaji mwisho wake ni nini
 
Dah! Mi hata sijaelewa unamaanisha nini! Labda unisaidie, yaani mpaka leo Wamarekani "wanashawishiwa" kuamini kuwa Tanzania hakuna Demokrasia? Basi hili ni jambo jema. Professor Kabudi kwa uwezo wake mkubwa alionao atawashinda hao wanaojaribu kushawishi negatively.
Wapuuzi Hawa, eti demokrasia ni wapinzani kushinda uchaguzi na sio wananchi kuchagua kiongozi wakisiasa wanaemtaka.
Wasitupangie jinsi yakuchagua!
 
Hivi Tanzania tunahitaji msaada wa chakula sanasana watatusaidia tuongeze akiba ya kuhifadhi chakula
 
watumwa ni wale wanalipwa buku 7 kufanya propaganda mitandaoni.
Tayari mabwana zako wamesharegea soma hapa chini wewe ass!!

IMG-20201114-WA0010.jpg
 
Two different contexts, Libya kulikuwa na civil war umeshona dalili yeyote ya mwananchi wa Tanzania kuingia msituni na kuanza civil war?

Maandamano tu watu wangeona kumsuppirt huyo Mbelgiji.
Mku kwa uelewa wako na hii Dunia tuliyoko Mmarekani anashindwa nini.
Tusijifariji jibu ni Viongozi waliokuwa wanatoa matamko wabadilike na kauli zao ambazo zitatuumiza ss raia.
Marekani sio Tanzania au sio Afrika Mku.
Ingia Yutub tafuta Documentary ilaitwa Secret of seven sisters ndo utajua hii dunia ikoje
 
Hakukua na civil war Bali NATO Ndio ilimmaliza Gaddafi
Wale watu wa banghazi walikua wanaonewa kama vile jiwe anvyowaonea Wazanzibari
Raia wa Libya hawakua na silaha za kupigana
As we speak now Ndio kuna civil war
When you say watanzania hawawezi kuingia msituni unajidanganya
Hivi majuzi wazanzibari walakataa kuandamana mikono mitupu walimuomba maalim Seif awatafutie kontena la silaha Ndio wataandamana kauli kama hizi zinaonyesha vipi watu wamechoka kunyanyaswa katika nchi yao
Anyway Wacha tuone dhulma na unyanyasaji mwisho wake ni nini
Nimemwambia aingie yutub atafute Documents inaitwa seven sisters
 
Bahati nzuri Rais wetu alishatuandaa kuwa Sasa tunaingia kwenye vita ya uchumi.
Walizoea nchi yetu kuwa shamba la Bibi Sasa baasi!
Magufuli endelea kukaza wananchi wako tupo pamoja na wewe kama tulivyokuchagua kwa kishindo kikubwa.
Tunataka watoto wetu warithi nchi yenye maziwa na asali. Tumechoka kuwa ombaomba
 
Sasa hao marekani si wafunge na ubalozi wao kabisa ili kuonesha msisitizo?
 
Back
Top Bottom