"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Usiifananishe Tanzania ya sasa na China, bado hatujawafikia wale watu.

Hao investors ndio wanakuwa frustrated everyday, wanasema tu midomoni wanavutia wawekezaji lakini matendo yao yana suggest tofauti, mfano Dangote.
Ukitaka kujua hali ikoje nenda viwandini kwani kwani vingi vimefungwa. Hivi mabenki kuungana ni afya nzuri kiuchumi kweli.
 
Mku Professor alishindwaje kuwashawishi UN kwa ripoti mbaya tuyopewa.
Kwa ujumla hatuko vizuri kidiplomasia kwa hiyo tutegemee lolote kwani jeuri ndo mwanzo wa yote haya. Tumwombe Mungu atupe Moyo wa kuyapokea kwa uvumilivu
unajua kazi za mabalozi wao hapa kwetu?unajua hawa jamaa wanajua mambo mangapi kuhusu sisi wanayotuma kwao kila asubuhi saa nne?unakumbuka report ya wikileaks hadi ya kikwete kunuliwa suits kuhongwa,ya Hosea wa takukuru kulalamika pembeni kwamba anazuiwa kufanya kazi yake,kuhusu kina Rostam?

Nina rafiki yangu anafanya kazi ubalozi mmoja wa scandinavia huwa ananihadithia jinsi balozi anavohoji mambo kibao hadi ya mtaani hadi ya soka, kutaka kujua maoni ya raia wanalalamika?wanafurahi ?hadi magazeti ya udaku wanapelekewa an wanatafsiriwa,hawahitaji kushawaishiwa na kabudi

Mnamlaumu kabudi bure tu..kuna video zipo wazi za ajabuajabu kwa hii miaka 5 yaani ni ushahidi tosha kabisa,ushwawishi labda zamani hakuna social media ial kwa sasa mtu anasimama anasema safari lissu haponyoki hatutakosea tena tutamchoma sindano PUFF halafu unataka kabudi akasawazishe boko kama hilo kweli jamani?
 
Kuna post nimesema hivi vikwazo vitatuumiza zaidi sisi familia maskini na siyo Raisi Magufuli au Lissu na wenzie.
Raisi hadi kufa kwake yeye na mkewe watapata huduma bora kwa fedha zetu.
Lissu na wenzie na familia zao wataenda Ulaya na Marekani, watapewa fedha za ufadhili kujikimu na kufanya harakati, watasomeshwa watoto wao nje lakini tusio wanasiasa na ndugu zetu maskini huko vijijini ndiyo tutapata acha itikanayo na vikwazo.

Hata akiondoka Raisi Magufuli madarakani bado athari za vikwazo zitatutesa miaka mingi ijayo. Mfano Zimbabwe Morgan Tshovingirai na Bob Mugabe wameshakufa lakini vikwazo bado vinaitesa Zimbabwe.

Tutafute namna nyingine ya kudai haki au mabadiliko. Hii ya Sasa ya kuichafua nchi na kutaka vikwazo siyo nzuri kwa yeyote zaidi ya kufurahisha watu binafsi mmoja mmoja walipa visasi.

Nafikiri ndiyo maana watu hawana andamans wameona mbali..
Watanzania siyo wajinga kiasi hicho.
Vikwazo huwa wanawekewa watawala ambao wanawaumiza watu wao,wapewe misaada au wasipewe watu wataumia tu ..ILA USIJALI HII NCHI NI TAJIRI HAITEGEMEI MABEBERU,nilkuwa najisemea tu
 
Mku Professor alishindwaje kuwashawishi UN kwa ripoti mbaya tuyopewa.
Kwa ujumla hatuko vizuri kidiplomasia kwa hiyo tutegemee lolote kwani jeuri ndo mwanzo wa yote haya. Tumwombe Mungu atupe Moyo wa kuyapokea kwa uvumilivu
Ukiniuliza diplomasia yetu ikoje nitakujibu; mtandaoni haiko vizuri. Kwenye reality tupo vizuri sana!
 
Yan wamarekani wameanza mbinyo alafu wanaiomba serikal yao na jumui ya kimataifa kuiwekea vikwazo tanzania iv ni mm tu Sijaelew au wamarekani wameanza kutuminya alafu wanaiomba serikal yao Tena anae tuminya ni Nan??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu Simba zee 33 , humu jukwaani tunawajibu wa kutumia lugha za staha dhidi ya imani za wengine ambao sio imani yako.

Sisi Wakristu tunaamini wote wasiomwamini Yesu huyo Mungu wanayemwamini ni shetani na mwisho wa siku wataishia motoni!. Kwa vile tunaishi na Waislamu, nikisema Allah na Mtume (SAW) ni .... according to imani yangu ya Ukristo, itakuwa ni machukizo kwa Waislamu na Uislamu!. Vivyo hivyo Muislamu kutuita makafiri na kiongozi wetu mkuu kumuita Kafiri, ni lugha ya machukizo!. Unaweza kuwasilisha hoja yako na ikaeleweka vizuri bila kututukana Makafiri!.
Heshima kitu cha bure!.
P
🙏🙏🙏 Mimekuekewa MKUU and I regret to be little bit harsh but we are so frustrated WHY WHY WHY.... when we got president who is non Muslim our blood become very weak and useless?

Do you think these things are happening by chance or are well planned?
Tunechoka kuona ndugu zetu wakiuawa kama nzige. Tunechoka kuona ndugu zetu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa milele.....

Kama ni upinzani hata Bara wapo wapinzani mbona hawapelekewi majeshi ya Burundi?
If you're going to dig deep you will realise there are somethings behind the scenes
That's why 99% ya Wazanzibari we are against CCM
YOU will be shocked to know hata Hussein Mwinyi alimpigia kura MAALIM SEIF
 
Hawa hapa wanaigiza Dodoma
iamlyenda_20201114_1.jpg
 
Mku Professor alishindwaje kuwashawishi UN kwa ripoti mbaya tuyopewa.
Kwa ujumla hatuko vizuri kidiplomasia kwa hiyo tutegemee lolote kwani jeuri ndo mwanzo wa yote haya. Tumwombe Mungu atupe Moyo wa kuyapokea kwa uvumilivu
Tatizo matamko yote yanakuja kwa ung'eng'e na wapambe wanaogopa kumtafsiria jiwe
Kwanza jiwe hata hajui diplomasia ni kitu gani
Tanzanian kazi tunayo
I am just saying........... ......... 😎
 
vikwazo huwa wanawekewa watawala ambao wanawaumiza watu wao,wapewe misaada au wasipewe watu wataumia tu ..ILA USIJALI HII NCHI NI TAJIRI HAITEGEMEI MABEBERU,nilkuwa najisemea tu
Kwa vikwazo dhidi ya viongozi vimeshafeli kinachofuata ni vikwazo dhidi ya nchi na kusitisha misaada na mikopo.
Hapo ndiyo wanapo umia wananchi wa kawaida kama Zimbabwe n.k.

Wanafanya hivyo makusudi ili wananchi mkiumia sana na maisha magumu muandamane au muanzishe vita vya kumtoa raisi wenu au chama wasichokitaka.

Amkeni usingizini kama mnadhani wanawapenda sana ....au wanapenda sana demokrasia.
 
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Hiyo ni recommendions repirt ya akina Lisu na wenzake..however, serikali za US na EU haziwezi ku implement huo, upuuzi,

BTW, msaada wa USD 323 million ndio nini sasa. Hio ni sawa na pesa ya kununulia dreamliner moja.
Angalia hapa: The private jet version of the Boeing 787 can cost more than $200 million and fly over 18 hours. Take a look at some its most luxurious designs.

Jiwe alisema atanunua 5 nyingine mpya basi atanunua 4 ili kufidia hilo gap, maisha yataendelea... 🙂

Kwa kifupi US na EU hawawezi kuweka vikwazo serious kwa TZ kwa sababu ya kulinda investment zao kubwa hapa nchini.

Wakifanya hilo kosa Jiwe atawanyoosha nao pia kama alivyofanya kwa ACCASIA.

Na Lisu akiendelea na huo upuuzi hata CHADEMA yenyewe ndio utakuwa mwisho wake kama chama cha siasa, kitafutwa!

In the current multipolar world, targeted sanctions have became meaningless just as they have highlighted in their crap report.
 
Kwa vikwazo dhidi ya viongozi vimeshafeli kibachofuata ni vikwazo dhidi ya nchi na kusitisha misaada na mikopo.
Hapo ndiyo wanapiumia wananchibwa kawaida kama Zimbabwe n.k.
Wanafanya hivyo makusudi ili wananchi mkiumia sana na maisha magumu muandamane au muanzishe vita vya kumtoa raisi went au chama wasichokitaka.

Amkeni usingizini kama mnadhani wanawapenda sana ....au wanapenda sana demokrasia.
Nchi tajiri hii usiogope ,ila kuna makauli mengine nchi hii unaangalia video mpaka unajiuliza daaah aiseeeh sawa tu lakini
 
Hiyo ni recommendions repirt ya akina Lisu na wenzake..however, serikali za US na EU haziwezi ku implement huo, upuuzi,

BTW, msaada wa USD 323 million ndio nini sasa. Hio ni sawa na pesa ya kununulia dreamliner moja.
Angalia hapa: The private jet version of the Boeing 787 can cost more than $200 million and fly over 18 hours. Take a look at some its most luxurious designs.

Jiwe alisema atanunua 5 nyingine mpya basi atanunua 4 ili kufidia hilo gap, maisha yataendelea... 🙂

Kwa kifupi US na EU hawawezi kuweka vikwazo serious kwa TZ kwa sababu ya kulinda investment zao kubwa hapa nchini.

Wakifanya hilo kosa Jiwe atawanyoosha nao pia kama alivyofanya kwa ACCASIA.

Na Lisu akiendelea na huo upuuzi hata CHADEMA yenyewe ndio utakuwa mwisho wake kama chama cha siasa, kitafutwa!

In the current multipolar world, targeted sanctions have became meaningless just as they have highlighted in their crap report.
Gaddafi alikua mbabe na katili kuliko jiwe na alikua anaongea kwa kiburi sana mwisho wake ni huo
 
Back
Top Bottom