Na wewe unaamini Magu ni Msukuma? Msukuma? My foot!!!!One good thing kuhusu Msukuma huyu, tangu ashike uongozi wa chama, amekifanyia chama some very big transformation sasa chama kinapendwa na kinakubalika na Watanzania na hili wamelionyesha tarehe 28 October.
Jiwe amezaliwa usukumani lakini asili yake ni Burundi ni muhutu yule Hakuna msukuma Ana roho mbaya HiviNa wewe unaamini Magu ni Msukuma? Msukuma? My foot!!!!
We need to prayTatizo matamko yote yanakuja kwa ung'eng'e na wapambe wanaogopa kumtafsiria jiwe
Kwanza jiwe hata hajui diplomasia ni kitu gani
Tanzanian kazi tunayo
I am just saying........... ......... [emoji41]
Mwisho wa Mbowe ni upi baada ya kumchachawangwe mtaka uenyekiti wa chama?Gaddafi alikua mbabe na katili kuliko jiwe na alikua anaongea kwa kiburi sana mwisho wake ni huo
Wanaonewa wengi bila kujali dini yao, usijielekeze kwenye dini ambayo ni easier defence, tafuta angle nyingine uiegemee.[emoji120][emoji120][emoji120] Mimekuekewa MKUU and I regret to be little bit harsh but we are so frustrated WHY WHY WHY.... when we got president who is non Muslim our blood become very weak and useless?
Do you think these things are happening by chance or are well planned?
Tunechoka kuona ndugu zetu wakiuawa kama nzige. Tunechoka kuona ndugu zetu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa milele.....
Kama ni upinzani hata Bara wapo wapinzani mbona hawapelekewi majeshi ya Burundi?
If you're going to dig deep you will realise there are somethings behind the scenes
That's why 99% ya Wazanzibari we are against CCM
YOU will be shocked to know hata Hussein Mwinyi alimpigia kura MAALIM SEIF
Two different contexts, Libya kulikuwa na civil war umeshona dalili yeyote ya mwananchi wa Tanzania kuingia msituni na kuanza civil war?Gaddafi alikua mbabe na katili kuliko jiwe na alikua anaongea kwa kiburi sana mwisho wake ni huo
Huu ni mwaka wangu wa 30 kwenye sekta hii ya habari, nilianza mwaka 1990!. Hivyo 1990-1995 rais alikuwa Mwinyi ni Muislamu na ndipo kulitokea vurugu za Mwembechai!.🙏🙏🙏 Mimekuekewa MKUU and I regret to be little bit harsh but we are so frustrated WHY WHY WHY.... when we got president who is non Muslim our blood become very weak and useless?
Do you think these things are happening by chance or are well planned?
Tunechoka kuona ndugu zetu wakiuawa kama nzige. Tunechoka kuona ndugu zetu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa milele.....
Kama ni upinzani hata Bara wapo wapinzani mbona hawapelekewi majeshi ya Burundi?
If you're going to dig deep you will realise there are somethings behind the scenes
That's why 99% ya Wazanzibari we are against CCM
YOU will be shocked to know hata Hussein Mwinyi alimpigia kura MAALIM SEIF
Hakukua na civil war Bali NATO Ndio ilimmaliza GaddafiTwo different contexts, Libya kulikuwa na civil war umeshona dalili yeyote ya mwananchi wa Tanzania kuingia msituni na kuanza civil war?
Maandamano tu watu wangeona kumsuppirt huyo Mbelgiji.
Wapuuzi Hawa, eti demokrasia ni wapinzani kushinda uchaguzi na sio wananchi kuchagua kiongozi wakisiasa wanaemtaka.Dah! Mi hata sijaelewa unamaanisha nini! Labda unisaidie, yaani mpaka leo Wamarekani "wanashawishiwa" kuamini kuwa Tanzania hakuna Demokrasia? Basi hili ni jambo jema. Professor Kabudi kwa uwezo wake mkubwa alionao atawashinda hao wanaojaribu kushawishi negatively.
Tayari mabwana zako wamesharegea soma hapa chini wewe ass!!watumwa ni wale wanalipwa buku 7 kufanya propaganda mitandaoni.
Sote,alieiba na alieibiwa.. Kama Zimbabwe vile..Sasa mbona kama umefurahia badala ya kusikitika. Unafikiri nani atakomoka?
Basi utakuwa huna uwezo wa kutafsiri hizo ripoti.Fuatilia ripoti ya UN iliyotoka September utapata majibu mazuri.
Mku kwa uelewa wako na hii Dunia tuliyoko Mmarekani anashindwa nini.Two different contexts, Libya kulikuwa na civil war umeshona dalili yeyote ya mwananchi wa Tanzania kuingia msituni na kuanza civil war?
Maandamano tu watu wangeona kumsuppirt huyo Mbelgiji.
Nimemwambia aingie yutub atafute Documents inaitwa seven sistersHakukua na civil war Bali NATO Ndio ilimmaliza Gaddafi
Wale watu wa banghazi walikua wanaonewa kama vile jiwe anvyowaonea Wazanzibari
Raia wa Libya hawakua na silaha za kupigana
As we speak now Ndio kuna civil war
When you say watanzania hawawezi kuingia msituni unajidanganya
Hivi majuzi wazanzibari walakataa kuandamana mikono mitupu walimuomba maalim Seif awatafutie kontena la silaha Ndio wataandamana kauli kama hizi zinaonyesha vipi watu wamechoka kunyanyaswa katika nchi yao
Anyway Wacha tuone dhulma na unyanyasaji mwisho wake ni nini
Mku ww umeelewaje labda unieleweshe.Basi utakuwa huna uwezo wa kutafsiri hizo ripoti.
Ahahahahahahahahah!!Mku ww umeelewaje labda unieleweshe.
Kwani hata Prof Kabudi aliitolea kauli sijui ww unamaanisha nini.
Asante siku njema