"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Unajua issue ya Majority rule na minority rights kwenye demokrasia ?
 
Hakuna mfadhili wa demokrasia duniani acha ujinga yaani ntu atoke ulaya aje kukusaidia wewe kupata haki yako kwako?
 
I dont see anything strange. We all struggle. Na kama kuna mtu alitegemea kuwa salama yetu ni pesa ya msaada alibugi man. Covid has brought into the world unsolved equation
You don't see any strange. Mmhh!!
You don't see any from Zimbabwe mmh!!
You don't see any from where democracy was suppressed mmh!

Covid ni issue ndogo na utaina madhara yake baadaye, kama taifa hatuna uwezo wa kuimili kujihudumia sisi wenyewe, Mugabe alijiaminisha hivyo na alijua mataifa ya kiafrika ikiwemo uchina ingempa nguvu kukwamua uchumi ulioporomoka, mwishowe alilala chali, yule aliyepo bado sana anajaribu lakini wanamuangalia and they watch and zoom from far.
 
amekifanyia chama some very big transformation sasa chama kinapendwa na kinakubalika na Watanzania na hili wamelionyesha tarehe 28 October.
Transformation kubwa aliyoifanya ni kutoka kwenye chama chenye ushawishi kwa wananchi na kuwa chama dola ambacho hakihitaji tena demokrasia ya watu kukichagua ila kina uwezo wa kujisimika na kujihalalisha madarakani.ccm ya Mkapa na Kikwete rafu kwenye chaguzi zilikuwepo lakini si kwa kiwango cha Jiwe,wao walikwepa kuingia kwenye mtego wa kuirudisha nchi kwenye mfumo wa chama kimoja lakini yeye amediriki tena kwa kukusudia kwamba wapinzani wanamkwamisha kuiletea Tanzania maendeleo hivyo,piga,kwapua lete mabegi ya kura za ziada,zuia mawakala wasishuhudie zoezi n.k ili tu kupata ushindi na kuwasingizia watanzania eti wamekipenda chako chenu.Mufilisi kabisa na usomi woooote hamna kitu wewe subiri teuzi tu safari naamini utakumbukwa.
 
Yaani upinzani ni wajinga sana hivi kweli alikutawala hapo nyuma leo aje akuteteee?
 
mjinga ni wewe una macho huoni na masikio husikii pia mkoloni mweusi muuaji hatumtaki.
Jinga kabisa kwahiyo unachoona wewe ni kipi labda?unaruka mkojo unakanyaga mavi,hakuna mkoloni mweusi wala mweupe kichaa kinawasumbua aisee,huko ulaya weusi wanabaguliwa na wanarudi Afrika wewe unaenda hukohuko,akili au matope?
 
Jinga kabisa kwahiyo unachoona wewe ni kipi labda?unaruka mkojo unakanyaga mavi,hakuna mkoloni mweusi wala mweupe kichaa kinawasumbua aisee,huko ulaya weusi wanabaguliwa na wanarudi Afrika wewe unaenda hukohuko,akili au matope?
Sitajihangaisha na wewe ambae kichwa kilichojaa mavi, mavi ndio ubongo wako hakuna ulijualo endelea kusifu na kuabudu kisha kapate buku 7 zako.
 
Yani hata kuwa na uhuru wa kukosoa,mfano kama alivyokuwa yule mwaandishi Jamal kashoggi ambaye alikuwa akikosoa utawala wa Saudia.
Kweli Saudi Arabia kwa mujibu wa katiba hairuhusiwi kujiingiza kwenye siasa na mtu akitaka huduma za kijamii unaletewa mpaka mlangoni sasa unakosoa nini tena?
Hivi Leo tupate maisha mazrui kama wasaudi bado tu tutakua na kukosoana?
Wanasiasa watawafanyia nini wasaudi ambacho hakijafanywa?
 
Ndio maana mkuu niliitaja Libya ambayo tunaambiwa kulikuwa na maisha mazuri tu kama hayo unayoyasema ya Saudia ila inasemwa kuwa hakukuwa na demokrasia na ndio sababu ya kuingiza nchi machafukoni.

Kama utawala upo sawa kwa watu wake basi kungekuwa hakuna watu wa kukosoa ila kama kuna mapungufu halafu unakataza watu kukosoa huoni ni tatizo?
 
Unajua issue ya Majority rule na minority rights kwenye demokrasia ?
Kwann wewe hutaki kujibu maswali yangu ?? Unataka nikujibu maswali yako tu!! Kama huwezi kujibu maswali niliyokuuliza, basi potezea.
Kama unaweza kujibu nijibu kwanza, na mm nitakujibu ulichokiuliza.

Nimeambiwa demokrasia means “hatma na maamuzi ya nchi uamuliwa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake”
.
Kama maamuzi ya nchi za kidemokrasia yanafanywa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake, sasa inakuaje kule bungeni kuna vyama vya upinzani na chama tawala, ilihali vyama vya upinzani ni wananchi na chama tawala ni wananchi!!

Inakuaje chama tawala ndio kinafanya maamuzi ya mwisho huko bungeni hata kama wabunge wa vyama vya upinzani wamepinga hoja?? Kwani, hawa waliopinga hoja si ni wananchi pia?? Sasa demokrasia iko wapi hapo?? Majibu kwanza tafadhali.
 
Why wapinzani tu na sio ccm
 
Lengo Ni kuwa wananchi wapate mbinyo was kutosha mpaka waache kuisifu serikali wataandamana bila kulazimishwa.Ndio lengo lenyewe
 
Lengo Ni kuwa wananchi wapate mbinyo was kutosha mpaka waache kuisifu serikali wataandamana bila kulazimishwa.Ndio lengo lenyewe
Tutakuwa tumerudi nyuma kimaendeleo kwa miaka 30.
Hiyo yote ni kwa faida ya nani?
Watu wachache wenye visasi na wengine tamaa na madaraka?

Kwani kuwa mbunge au kiongozi yeyote ni birthright kama monarch system?

Si lazima Lissu awe raisi au Mbowe au Membe au Zitto wawe raisi au mbunge.
Si lazima Mh. Magufuli awe raisi wa kudumu au wa muda mrefu.

Wapo watu wengine wengi wanaweza kushinda hizo nyadhifa.
Muhimu ni Tanzania yenye amani na ustawi. What is important is Peaceful and prosperous Tanzania.
 
Kindly revisit your understanding about Chinese development history. Kaangalie trade flows ya china kuanzia 1970s hadi 2000s uone contribution ya mabeberu hadi hapo walipo. Unaelewa kwamba China ilipewa "most favored status" na US kama ile ya WTO huku yeye hakuwa member wa WTO? Umewahi kuisoma China Joint venture law ya miaka ya 1970 kama ilitoa haki gani kwa foreign investors? Yes, maendeleo ni jukumu binafsi la kila nchi lakini ni kwa kushirikiana na wengine. Vipi unashirikiama nao ndo msingi wa mjadala huu. Lakini pia China yenye watu 1.3+ bilioni ukaiweke mizania moja na Tanzania??? Are you serious? Wewe una watu hao wa kuvutia uwekezaji wa kupuuzia "your internal politics"?
 
Yaani Libya ilikua nchi nzuri isipokua lulikua na ubaguzi na uonevu katika jamii fulani kama unavyoona hapa jinsi wazanzibari tunavyoteswa na majeshi
Ila Saudia kama unashida yeyote ambayo serikali inaweza kukusaidia unapata msaada mara moja
MFANO kama unaumwa unapiga Simu dakika hio hio Ambulance inakuja kukuchukua na kukupeleka hospital yenye hadhi kubwa
Ukitaka nyumba unapewa
Wapo wasaudi weusi wala hawabaguliwi kabisa
Hapa Tanzanian mambo ngumu ubaguzi kwa sana manyanyaso Ndio pahala pake
Hii nchi inaelekea kubaya inasifa zote za machafuko mungu atusitiri
 
Ndio maana nikasema kama utawala wa Saudia unaongoza vizuri tu na watu wanaishi vizuri sasa hao wakosoaji wanakosoa nini hadi wengine wanauliwa?
 
Huwezi ukawa na peaceful and prosperous Tanzania wakati kuna wengine wanapora haki za wengine na kujeruhi pamoja na kuua wakati wa uchaguzi.

Hali kama hii itakuja kusababisha vurugu huko mbele ya safari
 
Ndio maana nikasema kama utawala wa Saudia unaongoza vizuri tu na watu wanaishi vizuri sasa hao wakosoaji wanakosoa nini hadi wengine wanauliwa?
Kama unasema siyo lazima Lissu au Mbowe awe rais mbona Magufuli na wenzake wamelazimisha kuwa viongozi hata kama wamekataliwa na wananchi ?

Au hii " siyo lazima" yako ni kwajili ya Lissu na wapinzani wengine ?
Titicomb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…