Sasa itakuwaje?Dona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.
View attachment 1626014
Hivyo vidubwasha mbona vinapatika nchi nyingi tu duniani?X Ray mtatumia tv asilia POA
MRA mtatumia Nini?
CT Scan je?
ECG mtafanyia Nini?
Msijifananishe na wachina wakati nyie hamna hata kiwanda Cha tooth pick
Haha hahah hahah bila gesi yetu dunia haiathiriki na kituHivyo vidubwasha mbona vinapatika nchi nyingi tu duniani?
Btw, gesi ya kuendesha CT Scan na vinginevyo duniani si inaanza kuchimbwa TZ. Au na sisi tubanie?
Kwa hiyo tutaanza kuvaa tena chachacha au katambugaTena hizi ni rasharasha tu
Usihofu Mkuu,Mwaka 1978 na 1979 watu walikula pumbaAsiesikia la mkuu huvunjika guu, wasiojielewa watakuja hapa waanze kusema hawajali sisi ni matajiri, sasa kama tungekuwa matajiri hiyo misaada tusingekuwa tunapewa, wacheni kujidanganya.
Hapa mwananchi wa kawaida ndie atakaeumia, hivyo vikwazo vya kuinyima nchi misaada vitasababisha kodi za bidhaa zipande ili wajaribu kufidia hilo gap la kupoteza misaada, na mpaka hapa "serikali ya wanyonge" itakuwa imeshafeli.
Bahati nzuri hapa tutaumia wote, wezi wa kura na walioibiwa kura, sasa wale "praise team" nao wajiandae mapema kisaikolojia, kama ameanza mmarekani.
Kuna uwezekano mkubwa na marafiki zake wa jumuia ya ulaya nao watafuata, wacha kina Ndugai waendelee kushangilia wasilolijua kule bungeni, kwa haya yajayo watapata akili tu.
Huko tunapoelekea watatuzuia hata kufanya nao biashara, sijui hizo dola za kuwekea akiba ya fedha za kigeni zitatoka wapi.
Naona kila dalili tunaenda kuwa kama marafiki zetu wapendwa wa Zimbabwe.
Hii sio ile ya Mtwara, hii ni Rukwa na kuna uhaba mkubwa sana duniani. Tanzania ndio mkombozi kwa sasa. Mahospitali yote yanategemea hii gas.Haha hahah hahah bila gesi yetu dunia haiathiriki na kitu
Angalia wanalochukiaHii sio ile ya Mtwara, hii ni Rukwa na kuna uhaba mkubwa sana duniani. Tanzania ndio mkombozi kwa sasa. Mahospitali yote yanategemea hii gas.
Helium reserve in Tanzania is TWICE as big as thought
Measurements by experts from Lisbon-based Helium One, suggest that the helium deposits contain up to four times the concentrations of helium than previously predicted.www.dailymail.co.uk
Helium One sets focus on helium opportunity in Tanzania's Rukwa Basin
Deep Dive - Helium One Global Ltdwww.proactiveinvestors.co.uk
Kaandika kishabiki...Sasa mbona kama umefurahia badala ya kusikitika. Unafikiri nani atakomoka?
Tena hizi ni rasharasha tu
Wanajuwa kabisa ulaji kama vile walivyokuwa wanakula zamani unakwisha, na wanajuwa pia mataifa mengi ya Afrika wanaangalia Tanzania na wao wanapata idea kama wanaweza kuwagonea wanyonyaji. Ni change ambayo wazungu inawauma sana kuikubali.Angalia wanalochukia
View attachment 1626020
Wanachukia Tanzania kuanza kujijenga upya kitaifa, wanataka tuendelee kuwa shamba la bibi. Halafu kuwa watanzania wanashangilia; watu wa hivyo sana
Mkuu Bujibuji , asante kwa makaribisho,Pascal Mayalla njoo huku utetee Chama Cha Msukuma. Wizi wenu wa kura, mauaji, utekaji, dhuluma za kila aina sasa zinaligharimu taifa letu.
Kwani mngetenda haki mngepungukiwa kitu gani?
Najua mudu huu una type bonge la uzi na john 🚶pembeni.
Wasalimie Mbezi Juu, kesho saa nne ntakuwa kwa Mzee Juma Mugo Kula nyama choma na divai. Karibu
Mkuu Return Of Undertaker , huu ni muendelezo wa ubeberu tuu, tuliisha shauri what to doAccording to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini tanzania toka magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhiri wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.
Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.
Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary
There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade
Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Ukisikia dawa za asili unawaza waganga was kienyejiDona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.
View attachment 1626014
Tutatumia bidhaa kutoka China siio lazima marekaniDunia ya leo hata kama hukanyagi marekani lakini kama umejiunga kwenye jumuiya za kimataifa bhasi VETO power yao huwezi kuiepuka.
Ushawishi wa marekani ni mkubwa na sisi kama sisi sidhani kama tunaweza survive kama wakiamua kweli kutukazia
Viwanda vyetu vyenyewe ndio hivi ambavyo hata kutengeneza sindano ni shida, Export zetu zenyewe nadhani unazielewa na chanzo kikubwa cha foreign reserve unakijua. Kukaziwa sisi ni rahisi sanaaaa ila tuombe tu mambo yasiharibike
Uko sahihi mkuu.Dunia ya leo hata kama hukanyagi marekani lakini kama umejiunga kwenye jumuiya za kimataifa bhasi VETO power yao huwezi kuiepuka.
Ushawishi wa marekani ni mkubwa na sisi kama sisi sidhani kama tunaweza survive kama wakiamua kweli kutukazia
Viwanda vyetu vyenyewe ndio hivi ambavyo hata kutengeneza sindano ni shida, Export zetu zenyewe nadhani unazielewa na chanzo kikubwa cha foreign reserve unakijua. Kukaziwa sisi ni rahisi sanaaaa ila tuombe tu mambo yasiharibike
Wametunyonya Sana hao wapumbavuWanajuwa kabisa ulaji kama vile walivyokuwa wanakula zamani unakwisha, na wanajuwa pia mataifa mengi ya Afrika wanaangalia Tanzania na wao wanapata idea kama wanaweza kuwagonea wanyonyaji. Ni change ambayo wazungu inawauma sana kuikubali.
Hapa hakuna kurudi nyuma, kama deal sio win-win, hakuna anayekaa mezani kuongea.