"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Kukataa kusaidiwa hakuji kwa kutembea na mabegi ya Kura
 
Marekani kasahau kua Dunia imebadilika,yeye siyo Super power peke yake, na hana uwezo wa kupangia Mataifa mengine Nini Cha kufanya! Mambo ya kuchaguliana marafiki au maadui yalishwa pitwa na Wakati!!
Hataki vita ila wataacha kutusaidia kumbuka
40% ya bajeti inatoka kwa nchi wahisani
Bado misaada mingine mingi...
Watanzania inatakiwa tuweke maslahi ya nchi mbele sio maslahi ya chama au mtu
Magufuli l Ana uzuri na udhaifu wake sasa kama watu hawataki kumshauri wajue tunaelekea pabaya

I am just saying............. 😎
 
Nam Nambie wale walioambiwa wachukue mapanga visu mundu na silaha zingine, na kuanza kushambulia watu walitumwa na kafiri au ni nani?
Je walitumwa kuwauwa watu wa bara au wazanzibari wenzao?
 
Una u Una uhakika ni hiyo 40% au bado unadhani ni utawala wa kikwete?
 
Ndio maana watu wanapopiga jiwe na Kura za kwenye mabegi tunakataa huu upumbafu Sababu...yeye atapita Nchi itabaki
 
Kaka kusoma hujui hata picha huoni au unaelewa nini kuhusu TZ ya Kijani?
Mkuu hoja yenu kila siku ni Tanzania hakuna Demokrasia na mataifa ya nje yanajua na ndio maana Mabalozi "wale" walimsindikiza Lissu hadi airport ili aondoke nchini kwa amani, sio? Sasa, wanashawishiwa nini tena? Au huu ni uongo uongo wa Return Of Undertaker ambao umezoeleka humu na unaovumiliwa na mods wa JF?
 
Zika maskio
Your browser is not able to display this video.
 
Nam
Nambie wale walioambiwa wachukue mapanga visu mundu na silaha zingine, na kuanza kushambulia watu walitumwa na kafiri au ni nani?
Je walitumwa kuwauwa watu wa bara au wazanzibari wenzao?
Mbona mimi nipo hapa Pemba na sijaona hayo?
Hizo Ndio zile chuki mlizopandikizwa eti tunaua watu msikitini
ASTAGHFIRULLAH
hata nikikwambia nini huwezi kuelewa maana unachuki mbaya sana dhidi yetu Wazanzibari ambayo umepandikizwa miaka mingi kama vile Watripolian walivyokua wanawachukia Wabaghazi kule Libya
Anyway kila kitu kina mwisho
WEWE huzungumzii reality Bali unasukumwa na moyo wenye athari za chuki ya Hali ya juu sana
Haupo peke yako wengi wanatuchukia kwa story kama Hizo eti tunaua watu miskitin wengine wanasema tunakula nyama za Binadamu
Pole kwa kumchukia usiemjua
 
Huku pemba miaka kumi ya jakaya hata paka hatujazika lakini kaingia kafiri katuletea mpaka majeshi ya Burundi
Anyways dhulma haidumu
Gaddafi. Sadam au albashir walikua wababe na makatili kuliko huyu kafiri
Mkuu Simba zee 33 , kweli wewe zee!. Heshima kitu cha bure!, kafiri ni mtu asieamini Mungu, Waislamu wenye misimamo mikali, muslims fundamentalists ndio wanawaita Wakristu makafiri, huku kwa sisi Wakristu kuitwa kafiri ni kututukana, Wakristu tunamuamini Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo, uzao wa Waislamu umetokana na mtoto wa kwanza wa Nabii Ibrahim kwa mjakazi wa Kimisri, wa mkewe Sarah aliyeitwa Hagai, au Hagir, mtoto huyo ni Isumaili, na ndio ukoo wa Mtume Mohammed (SAW), hivyo usitukane watu makafiri wakati ni waumini wa Mungu huyo huyo unayemwamini.
P
 
Wajinga kama wewe walikuwapo Zimbabwe ya Mugabe kujidai wanaweza leo hii wapi....acheni kumuongea wehu jamaa yenu...mpaka sasa. Amesharibu nchi
kama unaniona mimi ni mjinga, basi wewe ni kati ya wale wanaokula kinyesi chao
 
Magu hana udhaifu ana MABAYA... unataka kusema kubambikia watu kesi nakuua ni madhaifu for wat
 
Hayo ni mawazo ya kijinga kabisa yanayoweza kutolewa na mtu asiyejiamini.

Yaani ni mpumbavu na lofa ndiye anaweza kuamini kuwa USA, Taifa kubwa, linaweza kuchukua hatua hiyo kwa sababu ya kibaraka Lissu na mlevi Mbowe hawakuchaguliwa. Wananchi wamewaadhibu kwenye sanduku la kura kwa sababu ya matendo na kauli zao.

Iwapo USA itachukua hatua hiyo itakuwa imetupa nafasi nzuri ya kujiimarisha kiuchumi. Ikumbukwe Marehemu Baba wa Taifa pia alijitenga na baadhi ya Mataifa ya Ulaya (siasa ya kutokufungamana na upande wowote) wakati hali ya uchumi ikiwa mbaya lakini tulivuka salama. Kwa sasa Tanzania ina kila kitu cha kujitegemea.

nk: Salary Slip na kampuni zake. Hivi Mwanahabari Huru kaishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…