dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Mugabe alihangaika sana na wachina unaweza kujua kinachoendelea huko Zimbabwe au huna taarifa unasubiri bashiru akuleteeTutatumia bidhaa kutoka China siio lazima marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mugabe alihangaika sana na wachina unaweza kujua kinachoendelea huko Zimbabwe au huna taarifa unasubiri bashiru akuleteeTutatumia bidhaa kutoka China siio lazima marekani
Kukataa kusaidiwa hakuji kwa kutembea na mabegi ya KuraNI wakati wa Africa kuondoa mawazo mgando ya kusaidiw kila siku
Dunia ya Sasa sio ile ya wakati wa nyerere
Ndio maana tunaletewa misaada inayodhuru hata afya zetu
Beberu hawez kumpenda Mtu mweusi hata siku moja
Tutaenda sawa tu na mchina kwani mchina nqe anatuhitaji Sana tu
Kupata masoko ya bidhaa zake
Hataki vita ila wataacha kutusaidia kumbukaMarekani kasahau kua Dunia imebadilika,yeye siyo Super power peke yake, na hana uwezo wa kupangia Mataifa mengine Nini Cha kufanya! Mambo ya kuchaguliana marafiki au maadui yalishwa pitwa na Wakati!!
Bado kabisa..Tena hizi ni rasharasha tu
Nambie wale walioambiwa wachukue mapanga visu mundu na silaha zingine, na kuanza kushambulia watu walitumwa na kafiri au ni nani?Unauhakuka na unayoyasema?
Anyways siwezi kusema kitu maana wewe hujapata madhara kutoka askari wa Burundi ila hata Gaddafi alikua na watu wanaompongeza kwa dhulma na mwisho upo
Mimi sitoki Oman hata kama ningekua natoka huko Ndio unichukie kiasi cha kufurahia dhulma tunazofanyiwa?
Kuna watu wengine wamepandikizwa chuki zidi ya Wazanzibari mpaka inatisha
Pole sana
Una uhakika ni hiyo 40% au bado unadhani ni utawala wa kikwete?Hataki vita ila wataacha kutusaidia kumbuka
40% ya bajeti inatoka kwa nchi wahisani
Bado misaada mingine mingi...
Watanzania inatakiwa tuweke maslahi ya nchi mbele sio maslahi ya chama au mtu
Magufuli l Ana uzuri na udhaifu wake sasa kama watu hawataki kumshauri wajue tunaelekea pabaya
I am just saying............. 😎
Ndio maana watu wanapopiga jiwe na Kura za kwenye mabegi tunakataa huu upumbafu Sababu...yeye atapita Nchi itabakiIran, North Korea, Syria, Zimbabwe, Venezuela, Cuba, Myanmar hawana hivyo vifaa?
Tutanunua vya Russia na China.
Maisha yatakuwa magumu kwa wote lakini siyo raisi na hao wanaopingana nae. Raisi huyu hata akiondoka bado athari za vikwazo vitaitafuna nchi miaka mingi baadaye, mfano Zimbabwe Morgan Tshovingirai na Bob Mugabe wameshakufa lakini vikwazo bado vinaitafuna nchi yao.
Hao akina Lissu wataenda kuishi nje, watapewa ufadhili wa pesa na vitu muhimu, watoto wao watasomeshwa nje huku tutabaki sisi fuata upepo na ndugu zetu maskini huko vijijini.
Mkuu hoja yenu kila siku ni Tanzania hakuna Demokrasia na mataifa ya nje yanajua na ndio maana Mabalozi "wale" walimsindikiza Lissu hadi airport ili aondoke nchini kwa amani, sio? Sasa, wanashawishiwa nini tena? Au huu ni uongo uongo wa Return Of Undertaker ambao umezoeleka humu na unaovumiliwa na mods wa JF?Kaka kusoma hujui hata picha huoni au unaelewa nini kuhusu TZ ya Kijani?
Waathirika wakubwa watakuwa wapiga kura wa CCM. Tunakomoana kiufundiHivi ndiyo mnataka vikwazo visambazwa haraka?
Faida yake ni kwa waganga wa miti shamba .
Wakulima,
Mifugo yetu , madini yetu , kila MTU na maisha yake.
Mbona mimi nipo hapa Pemba na sijaona hayo?Nam
Nambie wale walioambiwa wachukue mapanga visu mundu na silaha zingine, na kuanza kushambulia watu walitumwa na kafiri au ni nani?
Je walitumwa kuwauwa watu wa bara au wazanzibari wenzao?
Mkuu Simba zee 33 , kweli wewe zee!. Heshima kitu cha bure!, kafiri ni mtu asieamini Mungu, Waislamu wenye misimamo mikali, muslims fundamentalists ndio wanawaita Wakristu makafiri, huku kwa sisi Wakristu kuitwa kafiri ni kututukana, Wakristu tunamuamini Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo, uzao wa Waislamu umetokana na mtoto wa kwanza wa Nabii Ibrahim kwa mjakazi wa Kimisri, wa mkewe Sarah aliyeitwa Hagai, au Hagir, mtoto huyo ni Isumaili, na ndio ukoo wa Mtume Mohammed (SAW), hivyo usitukane watu makafiri wakati ni waumini wa Mungu huyo huyo unayemwamini.Huku pemba miaka kumi ya jakaya hata paka hatujazika lakini kaingia kafiri katuletea mpaka majeshi ya Burundi
Anyways dhulma haidumu
Gaddafi. Sadam au albashir walikua wababe na makatili kuliko huyu kafiri
MuulizeKwahiyo abafuraia nn sasa
Afadhali kwa kikwete ilikuwa ahuenu hata Deni lulikua trillions 20 sasa tunadaiwa trillion zaidi ya 40Una u
Una uhakika ni hiyo 40% au bado unadhani ni utawala wa kikwete?
Mnawaza kitumwatumwa tu!Tena hizi ni rasharasha tu
kama unaniona mimi ni mjinga, basi wewe ni kati ya wale wanaokula kinyesi chaoWajinga kama wewe walikuwapo Zimbabwe ya Mugabe kujidai wanaweza leo hii wapi....acheni kumuongea wehu jamaa yenu...mpaka sasa. Amesharibu nchi
Magu hana udhaifu ana MABAYA... unataka kusema kubambikia watu kesi nakuua ni madhaifu for watHataki vita ila wataacha kutusaidia kumbuka
40% ya bajeti inatoka kwa nchi wahisani
Bado misaada mingine mingi...
Watanzania inatakiwa tuweke maslahi ya nchi mbele sio maslahi ya chama au mtu
Magufuli l Ana uzuri na udhaifu wake sasa kama watu hawataki kumshauri wajue tunaelekea pabaya
I am just saying............. [emoji41]
Hebu soma na hii hapa chini.Tatizo wanunuzi wakubwa ndio hao hao walioanza kutununia.
Hayo ni mawazo ya kijinga kabisa yanayoweza kutolewa na mtu asiyejiamini.According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.
Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.
Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary
There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade
Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1