"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Tatizo wanunuzi wakubwa ndio hao hao walioanza kutununia.
Uliisha sikia wap watu wakanuna kununua madin? Watasusa kote lakin kwenye madin, gas, mafuta huwa hazinuniwi. Ukinuna mwenzio ana take advantage hapo hapo
 
Mbona msaada wenyewe ni hela kidogo hivyo? Mi nilijua wanachangia walau usd 1 billion. Kumbe tunaweza kuishi bila misaada kama asemavyo dr Magufuli. Ujenzi wa sgr ni Tanzania imetoa over 1 usd billions kutoka mfukoni. Sisi ni dona kantri.
Nani kakuambia sgr tunajenga kwa pesa zetu, unawaamini wanasiasa.
 
Vikwazo vije ili watanzania wajifunze maana ya demokrasia. Eti mitano tu wakati mawakala wa upinzani mnawafukuza vituoni na bunduki.

Shame!
 
Nashukuru mkuu ila nataka kukwambia kwa mujubu wa Imani yetu kuna
Waislamu
Watu wa kitabu
Makafiri
Waislamu ni wale wanaoamini Mungu mmoja mitume WOTE pamoja na Issa A. S) HADI MUHAMMAD (SAW)
People of scripture are Christians and Jews cos wanamipaka na wana miiko na hawaishi kwa matakwa yao Bali wanaishi kwa kufuata maandiko matakatifu ya Torah na Injili
Kakafiri hata akijiita ni mkristo. Muislamu au Jew as far as his /her actions are against scriptures he/she is KAFIRI
MFANO Mtu akijipa sifa za uungu huyo moja kwa moja ni KAFIRI
Maandiko yote yanasema Mungu pekee Ndio anaetoa na anaetwaa sasa mtu akisema 'there are certain people are not deserve to be Alive' hilo ni tamko la kufru na linatoka kwenye kinywa cha kafiri
You can not harm a lot of innocent poor creations of ALLAH and still you are trying your best to hide yourself under the umbrella of CHRISTIANITY
No I am sorry mkuu he is just pretending to be Christian but according to his actions he is NOT and he knows it
I am not trying to judge anyone but I am telling you with reference according to my faith
 
Sio demokrasia wanayoisema, ila maendeleo makubwa yanayofanyika kuboresha uchumi wa Tanzania ndio yanayowashtua Marekani na nchi nyingi za Magharibi.
Wanachanganyikiwa sababu wanaona wanapoteza chanzo chao cha malighafi na mbaya zaidi rais John Pombe Magufuli haingiliki wala hanunuliki. Wawakilishi wao kwenye serikali waliokua wakisaidiana nao kupata habari na kupanga mipango wametupwa nje

Kikubwa ninachojua hawa watu hawawezi kutuwekea sanctions😃😃😃 kwa hali ya uchumi wa dunia ya leo wakiweka sanctions wao ndio watapoteza zaidi maana wale mahasidi wao wakubwa kiuchumi sisi ndio marafiki zetu tangu utotoni. Maendeleo ya China yanawapasua vichwa, wanajua kabisa wakisusa nini kitatokea kwao

Na kwa ilani ya CCM na hotuba ya rais ya jana watakua wamechoka sana. Huku kwetu kumeshapambazuka sasa wavumilie tuu kama sisi tulivyowavumilia hamna namna

Kisichokuua kinakufanya uwe imara zaidi

Mungu ibariki Tanzania
 
Unazungumzia enzi za ujima hizi ni enzi za science na teknolojia mkuu.
 
Magu hana udhaifu ana MABAYA... unataka kusema kubambikia watu kesi nakuua ni madhaifu for wat
Kuua. Kufilisi. Kutesa. Kufunga watu. Kujeruhi nk ni maovu makubwa sasa Nani atamwambia wazee wa Mavi 8 wanamsifia tu
 
Ushawishi wa Marekani ni mkubwa na sisi kama sisi sidhani kama tunaweza survive kama wakiamua kweli kutukazia
Tanzania iliweza kuishawishi jumuiya ya kimataifa kuipa China "kura ya VETO" kwenye vikao vya UN wakati miaka hiyo Tanzania ikiwa bado nchi changa kabisa! Sembuse muda huu!?
 
X Ray mtatumia tv asilia POA
MRA mtatumia Nini?
CT Scan je?
ECG mtafanyia Nini?
Msijifananishe na wachina wakati nyie hamna hata kiwanda Cha tooth pick
Unadhani nili Tanzania inatakiwa iwe ni vitu ama uwezo wa kutengeneza hivyo vitu!?
 
Si kweli unachochangia. Aidha hujaelewa kilicho andikwa au hujui nini kimeamuliwa. Ningekushauri soma hoja ya #Titicomb. Utaelewa nini kinaendelea.
 
Badala ya kujadili message wewe unamjadili messenger unafikiri vikwazo vitawekwa na Return Of Undertaker .
 
Hii ni ripoti tu iliyotolewa na watafiti wa congress na ushauri wao lakini sioni maazimio ya bunge la Marekani kuhusu kuiwekea Tanzania vikwazo. Tuache kutia chumvi haya mambo na kuyafurahia. Pia Tusipotoshe na kuleta taharuki.
 
Tanzania iliweza kuishawishi jumuiya ya kimataifa kuipa China "kura ya VETO" kwenye vikao vya UN wakati miaka hiyo Tanzania ikiwa bado nchi changa kabisa! Sembuse muda huu!?
Mkuu diplomasia ya Tanzania ya Nyerere na diplomasia ya Tanzania ya leo ni mbingu na dunia.
 
Wacha ujinga wewe, hata hao marekani kuna mali watazihitaji tu huku kwetu, wacha waweke vikwazo tutauzia china na USSR
 
Mkuu Simba zee 33 , humu jukwaani tunawajibu wa kutumia lugha za staha dhidi ya imani za wengine ambao sio imani yako.

Sisi Wakristu tunaamini wote wasiomwamini Yesu huyo Mungu wanayemwamini ni shetani na mwisho wa siku wataishia motoni!. Kwa vile tunaishi na Waislamu, nikisema Allah na Mtume (SAW) ni .... according to imani yangu ya Ukristo, itakuwa ni machukizo kwa Waislamu na Uislamu!. Vivyo hivyo Muislamu kutuita makafiri na kiongozi wetu mkuu kumuita Kafiri, ni lugha ya machukizo!. Unaweza kuwasilisha hoja yako na ikaeleweka vizuri bila kututukana Makafiri!.
Heshima kitu cha bure!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…