Mkuu
Simba zee 33 , kweli wewe zee!. Heshima kitu cha bure!, kafiri ni mtu asieamini Mungu, Waislamu wenye misimamo mikali, muslims fundamentalists ndio wanawaita Wakristu makafiri, huku kwa sisi Wakristu kuitwa kafiri ni kututukana, Wakristu tunamuamini Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo, uzao wa Waislamu umetokana na mtoto wa kwanza wa Nabii Ibrahim kwa mjakazi wa Kimisri, wa mkewe Sarah aliyeitwa Hagai, au Hagir, mtoto huyo ni Isumaili, na ndio ukoo wa Mtume Mohammed (SAW), hivyo usitukane watu makafiri wakati ni waumini wa Mungu huyo huyo unayemwamini.
P