"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Usiifananishe Tanzania ya sasa na China, bado hatujawafikia wale watu.

Hao investors ndio wanakuwa frustrated everyday, wanasema tu midomoni wanavutia wawekezaji lakini matendo yao yana suggest tofauti, mfano Dangote.
Ukitaka kujua hali ikoje nenda viwandini kwani kwani vingi vimefungwa. Hivi mabenki kuungana ni afya nzuri kiuchumi kweli.
 
Mku Professor alishindwaje kuwashawishi UN kwa ripoti mbaya tuyopewa.
Kwa ujumla hatuko vizuri kidiplomasia kwa hiyo tutegemee lolote kwani jeuri ndo mwanzo wa yote haya. Tumwombe Mungu atupe Moyo wa kuyapokea kwa uvumilivu
unajua kazi za mabalozi wao hapa kwetu?unajua hawa jamaa wanajua mambo mangapi kuhusu sisi wanayotuma kwao kila asubuhi saa nne?unakumbuka report ya wikileaks hadi ya kikwete kunuliwa suits kuhongwa,ya Hosea wa takukuru kulalamika pembeni kwamba anazuiwa kufanya kazi yake,kuhusu kina Rostam?

Nina rafiki yangu anafanya kazi ubalozi mmoja wa scandinavia huwa ananihadithia jinsi balozi anavohoji mambo kibao hadi ya mtaani hadi ya soka, kutaka kujua maoni ya raia wanalalamika?wanafurahi ?hadi magazeti ya udaku wanapelekewa an wanatafsiriwa,hawahitaji kushawaishiwa na kabudi

Mnamlaumu kabudi bure tu..kuna video zipo wazi za ajabuajabu kwa hii miaka 5 yaani ni ushahidi tosha kabisa,ushwawishi labda zamani hakuna social media ial kwa sasa mtu anasimama anasema safari lissu haponyoki hatutakosea tena tutamchoma sindano PUFF halafu unataka kabudi akasawazishe boko kama hilo kweli jamani?
 
Vikwazo huwa wanawekewa watawala ambao wanawaumiza watu wao,wapewe misaada au wasipewe watu wataumia tu ..ILA USIJALI HII NCHI NI TAJIRI HAITEGEMEI MABEBERU,nilkuwa najisemea tu
 
Mku Professor alishindwaje kuwashawishi UN kwa ripoti mbaya tuyopewa.
Kwa ujumla hatuko vizuri kidiplomasia kwa hiyo tutegemee lolote kwani jeuri ndo mwanzo wa yote haya. Tumwombe Mungu atupe Moyo wa kuyapokea kwa uvumilivu
Ukiniuliza diplomasia yetu ikoje nitakujibu; mtandaoni haiko vizuri. Kwenye reality tupo vizuri sana!
 
Yan wamarekani wameanza mbinyo alafu wanaiomba serikal yao na jumui ya kimataifa kuiwekea vikwazo tanzania iv ni mm tu Sijaelew au wamarekani wameanza kutuminya alafu wanaiomba serikal yao Tena anae tuminya ni Nan??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🙏🙏🙏 Mimekuekewa MKUU and I regret to be little bit harsh but we are so frustrated WHY WHY WHY.... when we got president who is non Muslim our blood become very weak and useless?

Do you think these things are happening by chance or are well planned?
Tunechoka kuona ndugu zetu wakiuawa kama nzige. Tunechoka kuona ndugu zetu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa milele.....

Kama ni upinzani hata Bara wapo wapinzani mbona hawapelekewi majeshi ya Burundi?
If you're going to dig deep you will realise there are somethings behind the scenes
That's why 99% ya Wazanzibari we are against CCM
YOU will be shocked to know hata Hussein Mwinyi alimpigia kura MAALIM SEIF
 
Mku Professor alishindwaje kuwashawishi UN kwa ripoti mbaya tuyopewa.
Kwa ujumla hatuko vizuri kidiplomasia kwa hiyo tutegemee lolote kwani jeuri ndo mwanzo wa yote haya. Tumwombe Mungu atupe Moyo wa kuyapokea kwa uvumilivu
Tatizo matamko yote yanakuja kwa ung'eng'e na wapambe wanaogopa kumtafsiria jiwe
Kwanza jiwe hata hajui diplomasia ni kitu gani
Tanzanian kazi tunayo
I am just saying........... ......... 😎
 
vikwazo huwa wanawekewa watawala ambao wanawaumiza watu wao,wapewe misaada au wasipewe watu wataumia tu ..ILA USIJALI HII NCHI NI TAJIRI HAITEGEMEI MABEBERU,nilkuwa najisemea tu
Kwa vikwazo dhidi ya viongozi vimeshafeli kinachofuata ni vikwazo dhidi ya nchi na kusitisha misaada na mikopo.
Hapo ndiyo wanapo umia wananchi wa kawaida kama Zimbabwe n.k.

Wanafanya hivyo makusudi ili wananchi mkiumia sana na maisha magumu muandamane au muanzishe vita vya kumtoa raisi wenu au chama wasichokitaka.

Amkeni usingizini kama mnadhani wanawapenda sana ....au wanapenda sana demokrasia.
 
Hiyo ni recommendions repirt ya akina Lisu na wenzake..however, serikali za US na EU haziwezi ku implement huo, upuuzi,

BTW, msaada wa USD 323 million ndio nini sasa. Hio ni sawa na pesa ya kununulia dreamliner moja.
Angalia hapa: The private jet version of the Boeing 787 can cost more than $200 million and fly over 18 hours. Take a look at some its most luxurious designs.

Jiwe alisema atanunua 5 nyingine mpya basi atanunua 4 ili kufidia hilo gap, maisha yataendelea... 🙂

Kwa kifupi US na EU hawawezi kuweka vikwazo serious kwa TZ kwa sababu ya kulinda investment zao kubwa hapa nchini.

Wakifanya hilo kosa Jiwe atawanyoosha nao pia kama alivyofanya kwa ACCASIA.

Na Lisu akiendelea na huo upuuzi hata CHADEMA yenyewe ndio utakuwa mwisho wake kama chama cha siasa, kitafutwa!

In the current multipolar world, targeted sanctions have became meaningless just as they have highlighted in their crap report.
 
Nchi tajiri hii usiogope ,ila kuna makauli mengine nchi hii unaangalia video mpaka unajiuliza daaah aiseeeh sawa tu lakini
 
Gaddafi alikua mbabe na katili kuliko jiwe na alikua anaongea kwa kiburi sana mwisho wake ni huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…