Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Viburi, kejeli na dharau vimezidi, sacha tunyooshwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli China imekuwa kimbilio la wengi ambao wanasema hawataki kuingiliwa mambo ya ndani hadi pale wanapokuta wachina hawacheki na kima kwenye maslahi yao. Sijui na sisi tutawabinafsishia bandari au kiwanja cha ndege wakitushika pabaya tukiwekwa kando na dunia nzima maana hamna raha ya kudeal na mtu dhaifu kama yule asiye na optionTutatumia bidhaa kutoka China siio lazima marekani
Si ndio watafika huko mkuu? wanaenda kwa hatua.mikwala ya mabeberu tu hiyo hakuna lolote dr magufuli songa mbele baba hawa mbwa wanao bwaka bwaka hawawezi kutuzuia kwa lolote kama alivyosema gwajima hatuhitaji mapesa yao sisi bana labda wazuie hakuna kuuza nje au kununua kitu nje hapo nitaogopa sana
NI wakati wa Africa kuondoa mawazo mgando ya kusaidiw kila sikuNa kweli China imekuwa kimbilio la wengi ambao wanasema hawataki kuingiliwa mambo ya ndani hadi pale wanapokuta wachina hawacheki na kima kwenye maslahi yao. Sijui na sisi tutawabinafsishia bandari au kiwanja cha ndege wakitushika pabaya tukiwekwa kando na dunia nzima maana hamna raha ya kudeal na mtu dhaifu kama yule asiye na option
Ni kweli kabisa ndiyo maana wanafikiria vikwazo zaidi vitakavyotoa mbinyo na pia kuhusu ushirikiano wa kibiashara.Dunia ya leo hata kama hukanyagi marekani lakini kama umejiunga kwenye jumuiya za kimataifa bhasi VETO power yao huwezi kuiepuka.
Ushawishi wa marekani ni mkubwa na sisi kama sisi sidhani kama tunaweza survive kama wakiamua kweli kutukazia
Viwanda vyetu vyenyewe ndio hivi ambavyo hata kutengeneza sindano ni shida, Export zetu zenyewe nadhani unazielewa na chanzo kikubwa cha foreign reserve unakijua. Kukaziwa sisi ni rahisi sanaaaa ila tuombe tu mambo yasiharibike
NI wakati wa Africa kuondoa mawazo mgando ya kusaidiw kila siku
Dunia ya Sasa sio ile ya wakati wa nyerere
Ndio maana tunaletewa misaada inayodhuru hata afya zetu
Beberu hawez kumpenda Mtu mweusi hata siku moja
Tutaenda sawa tu na mchina kwani mchina nqe anatuhitaji Sana tu
Kupata masoko ya bidhaa zake
Ni kweli kabisa ndiyo maana wanafikiria vikwazo zaidi vitakavyotoa mbinyo na pia kuhusu ushirikiano wa kibiashara.
Hapa lazima maumivu yawe makali kiasi kwamba kila raia aliyepo nchini atasikia kisu kimegusa mfupa..
Jiulize wewe wale waliotuletea majeshi ya Burundi hapa Pemba kutuua hadharani wapo upande gani?“Dua la kuku”
Mlisema hivi hivi wakati wa KORONA
Mlisema hivi hivi wakati wa MCA (umeme wa REA)
Mlisema hivi hivi wakati wa Bandari
Narudia kusema; kuna pande mbili , Yaani upande wa Mungu (kutakia mema) na upande wa shetani (kutakia mabaya)
Jichunguze vizuri binafsi unaitakia mema Tanzania ama unaitakia mabaya (hapo utajua unamwakilisha MUNGU ama SHETANI ) katika wewe kuwa mjumbe wammojawapo kiimani
Very poor argument and analysis. Umefika Zimbabwe au unasimliwa tu? Ni migodi gani ya maana Zimbabwe inayomilikiwa na Wachina.Wengi wanaochangia hapa hawajui global politics! Wanachangia kushabikia Tanzania kuwekewa vikwazo bila kuwa wanaangalia kuwa Tanzania Taifa ambalo global powers wanataka wawe na influence nalo sana; na sasa hivi wanamchukia Magufuli kwa sababu hnaonekana hawawezi kuwa na influence juu yake. Mark my word kama kweli marekani itaiwekea vikwazo Tanzania ili uje tuzungumze tena. Hawawezi kurudia makosa waliyofanya Zimbabwe na kuwaacha wachina wakajizolea madini yote yale kwa bwelele ambayo wanatengezea vitu vya bei nafuu sana kwa sababu ya cheap raw materials na kuvitumia kuvuruga soko la ndani ya marekani.
Hao Marekani wenyewe Trump analalamika kaibiwa kura, mbona hawasemi?According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini tanzania toka magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhiri wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.
Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.
Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary
There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade
Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Hahaha ,zitakuwa zinauzwa mahospitali au sio?Dona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.
View attachment 1626014
Wewe ndiyo mbumbumbu kabisa! Umeelewa maana ya hiyo sentensi. Hivi wewe unafurahia utaifishaji wa maendeleo ya watu?Angalia wanalochukia
View attachment 1626020
Wanachukia Tanzania kuanza kujijenga upya kitaifa, wanataka tuendelee kuwa shamba la bibi. Halafu kuna watanzania wanashangilia; watu wa hovyo sana hawa.
Iran, North Korea, Syria, Zimbabwe, Venezuela, Cuba, Myanmar hawana hivyo vifaa?X Ray mtatumia tv asilia POA
MRA mtatumia Nini?
CT Scan je?
ECG mtafanyia Nini?
Msijifananishe na wachina wakati nyie hamna hata kiwanda Cha tooth pick
Mimi naamini aliyeiba kura, anayefunga watu ovyo, anayeua, anayeteka, anayebambikia kesi watu za uhujumu uchumi, ni dhahiri huyo ni wakala wa shetani.“Dua la kuku”
Mlisema hivi hivi wakati wa KORONA
Mlisema hivi hivi wakati wa MCA (umeme wa REA)
Mlisema hivi hivi wakati wa Bandari
Narudia kusema; kuna pande mbili , Yaani upande wa Mungu (kutakia mema) na upande wa shetani (kutakia mabaya)
Jichunguze vizuri binafsi unaitakia mema Tanzania ama unaitakia mabaya (hapo utajua unamwakilisha MUNGU ama SHETANI ) katika wewe kuwa mjumbe wammojawapo kiimani
Mwana Kulifaindi mwana kuligeti muache tu aendeleze ubabe MABEBERU wamsagie Kunguni.According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini tanzania toka magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhiri wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.
Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.
Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary
There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade
Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
"Mabeberu" wanatetea umma wa raia wanyonge wasio na sauti dhidi ya serikali "yao"
Hakuna kurudi nyuma wakati 5 years hata buku hamjamwongezea mtumishi wa serikali afu mnajitutumua hapa hahahaWanajuwa kabisa ulaji kama vile walivyokuwa wanakula zamani unakwisha, na wanajuwa pia mataifa mengi ya Afrika wanaangalia Tanzania na wao wanapata idea kama wanaweza kuwagonea wanyonyaji. Ni change ambayo wazungu inawauma sana kuikubali.
Hapa hakuna kurudi nyuma, kama deal sio win-win, hakuna anayekaa mezani kuongea.